Ubaya Ubwela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 1,353
- 3,060
Jamaa ni mjinga sana ana kichwa kizito sana halijitambuiMijitu mingine sijui ipoje. Mtu anaona kabisa ajira iko mashakani kwa sababu ya ubishoo uwanjani lakini yupo vile vile. Au hajui kama watu hawamtaki?
Hata kama alikuwepo timu siyo mchezaji mmoja,as roma alikufa goli sita bila kwa Liverpool golini akiwa Allison, lakini Liverpool wakamsajili AllisonWakati Horoya wanapigika goli 7, huyu kipa alikuwepo?
Mkuu mbona unanijibu swali ambalo sijaliuliza? Nimeuliza kama alikuwepo hayo mengine unayatoa wapiHata kama alikuwepo timu siyo mchezaji mmoja,as roma alikufa goli sita bila kwa Liverpool golini akiwa Allison, lakini Liverpool wakamsajili Allison
Siyo huyo.Wakati Horoya wanapigika goli 7, huyu kipa alikuwepo?
Mmoja kati ya Ayoub Lakred(likely) na Fred Michael Koublan ataondolewa Simba SC kumpisha striker mpyaKwani tarehe 15 ni lini? AA
Kwani si bado kuna nafasi moja ya mchezaji wa kimataifa baada ya Onana kutokuwa sehemu ya kikosiMmoja kati ya Ayoub Lakred(likely) na Fred Michael Koublan ataondolewa Simba SC kumpisha striker mpya
Nafasi ya onana ndo gorikipa musa camara aliijazaKwani si bado kuna nafasi moja ya mchezaji wa kimataifa baada ya Onana kutokuwa sehemu ya kikosi
ookeyLionel Ateba striker Mcameroon ni mnyama
Nimefuatilia huyu si mzuri sana..Leonel Ateba, striker Mcameroon ni mnyama
Atarudi coast bila shakaLameck Lawi amefeli majaribio yake Ubelgiji
huyu ni wa kumpigania haswa aje unyamaniLameck Lawi amefeli majaribio yake Ubelgiji
tumepigwa 🙄?Nimefuatilia huyu si mzuri sana..
Mechi 12 goli 1tumepigwa 🙄?
Nimejikuta nacheka mwenyeweLameck Lawi amefeli majaribio yake Ubelgiji
Sio ngoma..?Mmoja kati ya Ayoub Lakred(likely) na Fred Michael Koublan ataondolewa Simba SC kumpisha striker mpya