Tetesi: Tetesi za usajili ligi kuu Tanzania bara 2024/2025

Tetesi: Tetesi za usajili ligi kuu Tanzania bara 2024/2025

Ok mkuu hii ndio ipo sawa sasa. Naona safari hii Simba wamekuwa "serious" kiasi fulani ukilinganisha na miaka miwili/mitatu iliyopita ambapo Simba ilikuwa inajua tu kupointi vipaji ila ikifika kusajili wanaenda timu nyingine.

Lakini kamati ya usajili itaharibu kwa kitu kimoja tu nacho ni kuwa nimemsikia Ahmed Ally anapayuka kuwa Fred Funga Funga ndio msaidizi wa Mukwala. Kufeli ndio kutaanzia hapo kwani Mukwala akipata majeraha au kadi timu itakuwa inapoteza ushindi. Kumbuka kwenye mashindano makubwa nafasi za kufunga huwa chache sana sasa kwa Fred Funga funga anayefunga goli moja kwa kila nafasi zaidi ya nne itakuwa majanga.

Kama Simba wamemuacha Luis, Kramo basi wamalizie kabisa na Fred kwani pale mbele panahitajika watu wanaoweza kutumia nafasi kwa ufasaha. Kama hawajapata somo kwenye ligi iliyoisha kuwa magoli mengi ni muhimu basi hawatakaa waelewe ninachokizungumza hapa kuhusiana na kuwa wafungaji wakali angalau wawili wanaojua kufunga bila wasiwasi.
Huyo Mukwala mwenyewe sasa ni mchezaji wa maana? .......nikama jina lake tu "Mikwala" hana lolote ni bora hata fred.
Mchezaji wa maana Asante kotoko wasinge muacha bure, wameona hana uwezo ndio maana wakaachana nae.

Msimu ulio isha kwenye ligi ya Ghana kamaliza na goli 14 kwenye mechi 30, idadi hiyo hata George mpole anafikisha.

Huyo Mukwala sijui Mikwala ni wakawaida sana, musitutishie kujamba wakati muna harisha.
 
Duh wewe hata mtoto wako unaweza mpa sumu akiishabikia simba
 
lineup-builder.png
 
Hapana, ana shida ya goti
Shida yangu wampate Mpanzu n a beki Wa ivory Coast pia waongeze beki wa kushoto wa kimataifa itakua inatosha.

Wakija bongo Yusuph Kagoma au pale cost union kuna mido mzuri pia.

Jobe na onana waende hapa Simba itakua imenyoosha maelezo sasa
 
Beki wa Ivory Coast tayari
Beki wa kushoto wa kimataifa tayari
Mpanzu tayari.
Kagoma tayari
 
Back
Top Bottom