Kitoabu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 10,677
- 11,768
Ni Hamza kalala Komando kipensi.Timu itakuwa na kasi sana
ila Huyo Hamza ni nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni Hamza kalala Komando kipensi.Timu itakuwa na kasi sana
ila Huyo Hamza ni nani?
Huyo Mukwala mwenyewe sasa ni mchezaji wa maana? .......nikama jina lake tu "Mikwala" hana lolote ni bora hata fred.Ok mkuu hii ndio ipo sawa sasa. Naona safari hii Simba wamekuwa "serious" kiasi fulani ukilinganisha na miaka miwili/mitatu iliyopita ambapo Simba ilikuwa inajua tu kupointi vipaji ila ikifika kusajili wanaenda timu nyingine.
Lakini kamati ya usajili itaharibu kwa kitu kimoja tu nacho ni kuwa nimemsikia Ahmed Ally anapayuka kuwa Fred Funga Funga ndio msaidizi wa Mukwala. Kufeli ndio kutaanzia hapo kwani Mukwala akipata majeraha au kadi timu itakuwa inapoteza ushindi. Kumbuka kwenye mashindano makubwa nafasi za kufunga huwa chache sana sasa kwa Fred Funga funga anayefunga goli moja kwa kila nafasi zaidi ya nne itakuwa majanga.
Kama Simba wamemuacha Luis, Kramo basi wamalizie kabisa na Fred kwani pale mbele panahitajika watu wanaoweza kutumia nafasi kwa ufasaha. Kama hawajapata somo kwenye ligi iliyoisha kuwa magoli mengi ni muhimu basi hawatakaa waelewe ninachokizungumza hapa kuhusiana na kuwa wafungaji wakali angalau wawili wanaojua kufunga bila wasiwasi.
Mwasibu kuwa muelewa. Kumhusisha tu na uchawi, kisa mtu ametoa maoni yake; siyo poa. Kimsingi tunatakiwa tuchukuliane humu jukwaani.Nani kakupa hiyo haki kwenye Jukwaa la Wazi? Humu sio uvunguni
Upo sahihi lakini ukifatilia hiyo comment ya uchawi ni utani wa jadi tu kama sio jokes za jukwaani. Ukichukulia kila kitu serious basi social media hazimfaiMwasibu kuwa muelewa. Kumhusisha tu na uchawi, kisa mtu ametoa maoni yake; siyo poa. Kimsingi tunatakiwa tuchukuliane humu jukwaani.
Acheni roho mbaya na uchawi.Sisi tunatamba tukiwa na kombe mkononi, nyinyi munatamba wakati kama huu wa usajili.
Duh wewe hata mtoto wako unaweza mpa sumu akiishabikia simbaHuyo Mukwala mwenyewe sasa ni mchezaji wa maana? .......nikama jina lake tu "Mikwala" hana lolote ni bora hata fred.
Mchezaji wa maana Asante kotoko wasinge muacha bure, wameona hana uwezo ndio maana wakaachana nae.
Msimu ulio isha kwenye ligi ya Ghana kamaliza na goli 14 kwenye mechi 30, idadi hiyo hata George mpole anafikisha.
Huyo Mukwala sijui Mikwala ni wakawaida sana, musitutishie kujamba wakati muna harisha.
CAF wasipoteze fedha CAFCC, kama inawezekana wawape tu Simba hilo kombeChamou Karaboue(24) beki wa kati na beki Bora wa ligi ya Ivory Coast rasmi ni mnyama.
Nimekubali wewe kweli ni insider wa simba scIdumba Fasika hatajiunga n Simba SC baada ya kufeli vipimo vya afya
Itakua anavuta bangi au Gongo sana kama Okrah na mkude 😀Idumba Fasika hatajiunga n Simba SC baada ya kufeli vipimo vya afya
Mi outsider mkuuNimekubali wewe kweli ni insider wa simba sc
Hapana, ana shida ya gotiItakua anavuta bangi au Gongo sana kama Okrah na mkude 😀
Shida yangu wampate Mpanzu n a beki Wa ivory Coast pia waongeze beki wa kushoto wa kimataifa itakua inatosha.Hapana, ana shida ya goti
Hapo bench kuna Freddy, Kibu mzamiru, Babacar, israel, chisambi, barua Karabaka.
Mkuu heshima kwako wewe nahisi upo kwenye kamati ya usajili rasmi naanza kuamini taarifa zakoChamou Karaboue(24) beki wa kati na beki Bora wa ligi ya Ivory Coast rasmi ni mnyama.
Beki wa Ivory Coast tayariShida yangu wampate Mpanzu n a beki Wa ivory Coast pia waongeze beki wa kushoto wa kimataifa itakua inatosha.
Wakija bongo Yusuph Kagoma au pale cost union kuna mido mzuri pia.
Jobe na onana waende hapa Simba itakua imenyoosha maelezo sasa
Siko kwenye kamati broMkuu heshima kwako wewe nahisi upo kwenye kamati ya usajili rasmi naanza kuamini taarifa zako
Yeah. Wasiwasi uliopo ni thank you ya Babakar.Hapo bench kuna Freddy, Kibu mzamiru, Babacar, israel, chisambi, barua Karabaka.