Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha dogo ligi kuu Tanzania bara 2023/2024

Golden boy Chasambi....jamaa anajua mpaka anajua tena. Ni muda mrefu simba tumekosa mbadala wa chama katika kuhakikisha strikers wanapata assists za kutosha .
 
Huyo hatapata namba, atakufa kiwango kimyakimya kama vijana wengine walioko Simba akina Mohamed, Hamis, Duchu, Hussein Abel, Abdallah Riziki,Jimson Mwanuke n.k.

Malengo ya Simba ni makubwa, hivyo wachezaji wa majaribio hususani wazawa hawawezi aminiwa kirahisi kucheza wakati timu ina pressure kubwa ya ndani na nje ya kusaka matokeo.

Angekuwa na washauri wazuri wa kuona kesho yake, hakika angejitenga na Simba akaendelea kukuza kipaji kwa sasa,maana sidhani kama ana kiwango kikubwa kuliko alichokuwa nacho Rashid Juma Mtabwigwa.
 
Kwemaaa,

Kuelekea dirisha dogo la usajili 15 . 12. 2023 kufungulia Nini maoni YAKo wewe mwana Simba mwenzangu tusajili maeneo gani kuboresha kikosi chetu?

Unapendekeza Ni wachezaji gani na gani unatamani Simba iwaache kwa haraka Sana hata bila kupepesa macho na ukitoa na sababu itakuwa vizuri Sana.

Binafsi eneo la msingi ambao wengi tunalijua ni kiungo mkabaji, tunahitaji mtu tough, mwenye nguvu, pumzi na ambae Hana majeraha ya mara kwa mara, na mwisho mwenyewe experience na awe na umri wa kuridhisha ( sio tunamtumia msimu mmoja Alafu tunaanza kuhangaika Tena )

Nawasilisha
 
Mchezaji mzuri anaonekana toka mwanzo
Awamu hii mmesajili hapo Simba vyuma vingapi vyenye hadhi ya CAF CL,?.

Au bado mnajitafuta baada ya ubabaishaji wa awali wa kuleta akina Manzoki ili mpate kura?.

Mimi nimestaafu kuishangilia Simba hadi pale itakapofanya mambo yanayoonekana kwa vitendo, ninailinda afya yangu nisijekufa kwa pressure.
 
Usajili ni kamali.
 
Kwemaaa,

Kuelekea dirisha dogo la usajili 15 . 12. 2023 kufungulia Nini maoni YAKo wewe mwana Simba mwenzangu tusajili maeneo gani kuboresha kikosi chetu?

Unapendekeza Ni wachezaji gani na gani unatamani Simba iwaache kwa haraka Sana hata bila kupepesa macho na ukitoa na sababu itakuwa vizuri Sana.

Binafsi eneo la msingi ambao wengi tunalijua ni kiungo mkabaji, tunahitaji mtu tough, mwenye nguvu, pumzi na ambae Hana majeraha ya mara kwa mara, na mwisho mwenyewe experience na awe na umri wa kuridhisha ( sio tunamtumia msimu mmoja Alafu tunaanza kuhangaika Tena )

Nawasilisha

Uko sahihi.

Ondoa Man utd mkuu
kwa nini niiondoe?
 
Back
Top Bottom