Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nduo, Boko kijana amepewa nafasi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nduo, Boko kijana amepewa nafasi.
Wakati huo yanga atakua anakusubiri?Yanga lzm tumfikirie pia coz ndio mshindani wetu
Wapo, watatangazwa soonWanaofanya usajili Simba sidhani kama wana uelewa wa mpira kabisa. Nildhani kwenye dirisha hili dogo ndio ungekuwa muda sahihi wa THANK You kwa Boko na Saidoo lakini badala yake eti wanambembeleza Saidoo akubali kusaini mwaka mmoja. Mapungufu makubwa mawili kati ya mengi yaliyopo kwa sasa Simba ni kiungo mkabaji na mshambuliaji wa kati anayejua kufunga kwa kutumia nafasi nyingi zinazotengenezwa na viungo na mawinga. Hayo mapungufu mengine achananeni nayo siyo makubwa sana yatazibwa wakati wa dirisha kubwa. Nilitegemea mpaka sasa hivi Simba ingekuwa imeshawapeleka kambini kiungo mkabaji na mshambuliaji wa kati ili waanze kuzoeana na wenzao.
Yanga na yeye yuko makiniWakati huo yanga atakua anakusubiri?
SIMBA imemaliza usajili wa ndani na sasa imehamia anga ya kimataifa baada ya usiku wa kuamkia jana kushusha mashine kimyakimya tayari kwa kuboresha kikosi hicho kilichopo kwenye michuano ya Kombe la Mapinduzi kwa sasa visiwani Zanzibar.Uzi wa tetesi
Lkn hauna tetesi zozote
Tetesi zipo ukurasa wa kwanzaUzi wa tetesi
Lkn hauna tetesi zozote
Hata kwa sawadogo ilikuwa hivi hivi.SIMBA imemaliza usajili wa ndani na sasa imehamia anga ya kimataifa baada ya usiku wa kuamkia jana kushusha mashine kimyakimya tayari kwa kuboresha kikosi hicho kilichopo kwenye michuano ya Kombe la Mapinduzi kwa sasa visiwani Zanzibar.
.
Simba imemshusha fundi Michael Charamba (27) raia wa Zimbabwe, anayemudu nafasi tofauti kwa eneo la mbele ambaye inaelezwa ni pendekezo la Kocha Abdelhak Benchikha. Huyo ni staa wa kwanza wa kigeni kwa Simba kwenye dirisha dogo kushushwa baada ya awali kutambulishwa Saleh Masoud Karabaka kutoka JKU, huku ikielezwa pia imemalizana na Ladeck Chasambi kutoka Mtibwa Sugar na Edwin Balua kutoka TZ Prisons ikiwa ni wachezaji wa ndani.
.
Charamba aliyeitumikia Chicken Inn ya Zimbabwe anasifika kama kiraka ambaye amekipa kikosi hicho ubora mkubwa kutokana na kumudu kucheza nafasi ya straika, kiungo mshambuliaji, na winga wa kulia.
.
Zaidi ya hayo jamaa anajua kufunga kwa mashuti ya mbali makali ambayo yalimpa ubora mkubwa kwenye Ligi Kuu ya Zimbabwe na sasa anahamishia makali hayo Msimbazi.
Kwa hiyo waache kusajili?Hata kwa sawadogo ilikuwa hivi hivi.
Piga mahesabu na kiuwasubu mwasibu ndio utapata jibu.Kwa hiyo waache kusajili?
Punguza shobo. Timu haiwezi kuacha kusajili kwa sababu kuna mtu hakufanya vizuri. Changia kwa utimamuPiga mahesabu na kiuwasubu mwasibu ndio utapata jibu.
Wewe ndio una shobo. Nani kasema timu isisajili? Nioneshe wapi nimesema Timu isisajili? Usinilishe maneno wewe.Punguza shobo. Timu haiwezi kuacha kusajili kwa sababu kuna mtu hakufanya vizuri. Changia kwa utimamu
Mungu asaidie asije kuwa ni winga tena, maana ni kama kamati ya usajili imeelekezwa kusajili winger tu bila kujali mapungufu ya timuSIMBA imemaliza usajili wa ndani na sasa imehamia anga ya kimataifa baada ya usiku wa kuamkia jana kushusha mashine kimyakimya tayari kwa kuboresha kikosi hicho kilichopo kwenye michuano ya Kombe la Mapinduzi kwa sasa visiwani Zanzibar.
.
Simba imemshusha fundi Michael Charamba (27) raia wa Zimbabwe, anayemudu nafasi tofauti kwa eneo la mbele ambaye inaelezwa ni pendekezo la Kocha Abdelhak Benchikha. Huyo ni staa wa kwanza wa kigeni kwa Simba kwenye dirisha dogo kushushwa baada ya awali kutambulishwa Saleh Masoud Karabaka kutoka JKU, huku ikielezwa pia imemalizana na Ladeck Chasambi kutoka Mtibwa Sugar na Edwin Balua kutoka TZ Prisons ikiwa ni wachezaji wa ndani.
.
Charamba aliyeitumikia Chicken Inn ya Zimbabwe anasifika kama kiraka ambaye amekipa kikosi hicho ubora mkubwa kutokana na kumudu kucheza nafasi ya straika, kiungo mshambuliaji, na winga wa kulia.
.
Zaidi ya hayo jamaa anajua kufunga kwa mashuti ya mbali makali ambayo yalimpa ubora mkubwa kwenye Ligi Kuu ya Zimbabwe na sasa anahamishia makali hayo Msimbazi.
FUNDI MAIKOSIMBA imemaliza usajili wa ndani na sasa imehamia anga ya kimataifa baada ya usiku wa kuamkia jana kushusha mashine kimyakimya tayari kwa kuboresha kikosi hicho kilichopo kwenye michuano ya Kombe la Mapinduzi kwa sasa visiwani Zanzibar.
.
Simba imemshusha fundi Michael Charamba (27) raia wa Zimbabwe, anayemudu nafasi tofauti kwa eneo la mbele ambaye inaelezwa ni pendekezo la Kocha Abdelhak Benchikha. Huyo ni staa wa kwanza wa kigeni kwa Simba kwenye dirisha dogo kushushwa baada ya awali kutambulishwa Saleh Masoud Karabaka kutoka JKU, huku ikielezwa pia imemalizana na Ladeck Chasambi kutoka Mtibwa Sugar na Edwin Balua kutoka TZ Prisons ikiwa ni wachezaji wa ndani.
.
Charamba aliyeitumikia Chicken Inn ya Zimbabwe anasifika kama kiraka ambaye amekipa kikosi hicho ubora mkubwa kutokana na kumudu kucheza nafasi ya straika, kiungo mshambuliaji, na winga wa kulia.
.
Zaidi ya hayo jamaa anajua kufunga kwa mashuti ya mbali makali ambayo yalimpa ubora mkubwa kwenye Ligi Kuu ya Zimbabwe na sasa anahamishia makali hayo Msimbazi.
Piga mahesabu na kiuwasubu mwasibu ndio utapata jibu.
Mwasibu punguza munkari basi. Mwenzako alikutaka upige tu zile hesabu zako za kihasibu kama ulivyofanya kwenye usajili wa Aziz Kii kipindi kile. Sasa ukali wa nini tena?Punguza shobo. Timu haiwezi kuacha kusajili kwa sababu kuna mtu hakufanya vizuri. Changia kwa utimamu
Eti kaja kwa majaribio. Kuna vitu vinachekesha sana, timu inayojiita Bora Afrika inamfanyia mchezaji majaribio kabla ya kumsajili.Mwasibu punguza munkari basi. Mwenzako alikutaka upige tu zile hesabu zako za kihasibu kama ulivyofanya kwenye usajili wa Aziz Kii kipindi kile. Sasa ukali wa nini tena?
Wewe ulitakiwa tu kukukotoa hesabu iwapo huyo Chalamba kutoka timu ya wauza kuku wa kienyeji; ya Chicken inn kama ataisaidia timu yenu, au la. Maana ukumbuke Bosi wako Mo atakuwa ameshakamuliwa mzigo wa kutosha tu hapo na wajanja.
Nitajie timu bora unayoijua isiyofanyisha wachezaji majaribio. Tuongee kwa fact si mihemko ya redioniEti kaja kwa majaribio. Kuna vitu vinachekesha sana, timu inayojiita Bora Afrika inamfanyia mchezaji majaribio kabla ya kumsajili.
Kubishana na mandazi inataka moyo kama wakoNitajie timu bora unayoijua isiyofanyisha wachezaji majaribio. Tuongee kwa fact si mihemko ya redioni