- Thread starter
- #81
Vipi anavuta ya wapi?Simba imesajili mvuta bangi kutoka Zanzibar.
Saleh Tumbo.
Remember the name
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi anavuta ya wapi?Simba imesajili mvuta bangi kutoka Zanzibar.
Saleh Tumbo.
Remember the name
Hii inaitwa fujo ya kusajili mawinga, nahisi simba tunakosea, kuna haja ya kufanya timu iwe na balance, tuna shida viungo wakabaji, tuna shida beki za kati, tuna shida na beki za pembeni, tuna shida strikers lakini hii ya kuwa na winga timu nzima naona sio sahihi sana ! Kamati ya usajili ina shida mahala
Kuna haja kubwa ya kuwa na mkurugenzi wa ufundi pale, yaani usajili wetu umekuwa wa kihunihuni sana kwakweli, sijui kamati ya usajili inafanya nini? Mashabiki wanaona viongozi wanakosea ila hawajirebishi kutokana na ubishi wao! Hatuna viongozi wenye weledi zaidi ya wizi tuNdani ya miaka 3 ijayo kwa janjajanja za viongozi wa Simba nina uhakika hatutapata kombe lolote tofauti na Mapinduzi cup.
Linapokuja suala la usajili wanajimbwambafai sana lakini mwisho wa siku kinachofanyika ni upuuzi uleule wa kila dirisha la usajili.
cc Hichilema
Kwa sasa wote wapenzi na mabosi wa Simba tunapitia wakati mgumu, mashabiki mioyo ina sonona na mabosi biashara zao za jezi, viingilio getini, kuchangia app n.k nako mapato yameshuka.
Ana Kasi? Au ndo Yale Yale mambo ya Slow motionGolden boy Chasambi....jamaa anajua mpaka anajua tena. Ni muda mrefu simba tumekosa mbadala wa chama katika kuhakikisha strikers wanapata assists za kutosha .
Count me in MkuuAwamu hii mmesajili hapo Simba vyuma vingapi vyenye hadhi ya CAF CL,?.
Au bado mnajitafuta baada ya ubabaishaji wa awali wa kuleta akina Manzoki ili mpate kura?.
Mimi nimestaafu kuishangilia Simba hadi pale itakapofanya mambo yanayoonekana kwa vitendo, ninailinda afya yangu nisijekufa kwa pressure.
Nduo, Boko kijana amepewa nafasi.Kwani Barca kuna maingizo mangapi ya vijana wadogo kwenye timu yao ya wakubwa....
Njoo Madrid timu inayo tengenezwa sasa hivi ni ya vijana watupu,juzi wamevuta dogo wa Kibrazil ana miaka kumi na sita. Haya njoo kwa Simba kuna vijana ww unawaona wakipewa nafasi....
Kombe liko karibu mkuu, kama si msimu huu basi ujao. Kilichoikumba Simba sio janjajanja wala nini bali ni harakati za kuanza kutengeneza kikosi kipya baada ya kilichokuwepo kusnza kuisha kitu ambacho kilichelewa kuanza. Wachezaji wengi waliozeana na kuitengeneza Simba bora umri ulikuwa unawatupa mkono e.g Kagere, Bocco, Mugalu, Nyoni, Wawa, Kahata, Kotei, Lwanga etc.Ndani ya miaka 3 ijayo kwa janjajanja za viongozi wa Simba nina uhakika hatutapata kombe lolote tofauti na Mapinduzi cup.
Linapokuja suala la usajili wanajimbwambafai sana lakini mwisho wa siku kinachofanyika ni upuuzi uleule wa kila dirisha la usajili.
cc Hichilema
Kwa sasa wote wapenzi na mabosi wa Simba tunapitia wakati mgumu, mashabiki mioyo ina sonona na mabosi biashara zao za jezi, viingilio getini, kuchangia app n.k nako mapato yameshuka.
Yanga lzm tumfikirie pia coz ndio mshindani wetuKombe liko karibu mkuu, kama si msimu huu basi ujao. Kilichoikumba Simba sio janjajanja wala nini bali ni harakati za kuanza kutengeneza kikosi kipya baada ya kilichokuwepo kusnza kuisha kitu ambacho kilichelewa kuanza. Wachezaji wengi waliozeana na kuitengeneza Simba bora umri ulikuwa unawatupa mkono e.g Kagere, Bocco, Mugalu, Nyoni, Wawa, Kahata, Kotei, Lwanga etc.
Msimu wa ngapi huu maneno ya viranja yakiwa yaleyale?Kombe liko karibu mkuu, kama si msimu huu basi ujao. Kilichoikumba Simba sio janjajanja wala nini bali ni harakati za kuanza kutengeneza kikosi kipya baada ya kilichokuwepo kusnza kuisha kitu ambacho kilichelewa kuanza. Wachezaji wengi waliozeana na kuitengeneza Simba bora umri ulikuwa unawatupa mkono e.g Kagere, Bocco, Mugalu, Nyoni, Wawa, Kahata, Kotei, Lwanga etc.
Yanga alimaliza misimu mingapi?Msimu wa ngapi huu maneno ya viranja yakiwa yaleyale?
Alikuwa kapuku mfukoni, aliishi kwa msaada wa bakuli, tangu aishi kwa nguvu ya beberu GSM balaa tunaliona.Yanga alimaliza misimu mingapi?
Ni kajamaa tu a kanajua sana asee
GSM Yanga kaingia lini?Alikuwa kapuku mfukoni, aliishi kwa msaada wa bakuli, tangu aishi kwa nguvu ya beberu GSM balaa tunaliona.
Sisi tunaambiwa daily timu inavuna mabilioni ya kutosha huku na kule, kwa minajili hiyo hatukutegemea kufanya sajili za kuokoteza kiasi hicho.
Unaleta rundo la wachezaji wa bei chee wakifika badala ya kuingia kwenye mfumo wanaishia asilimia kubwa kwenye mbao ndefu au kucheza chini ya kiwango kuliko waliopo.
Kwa sasa silaumu sana maana hata mabosi kibiashara huenda malengo yenu yasifikiwe kutokana na mashabiki kususia bidhaa za timu kwa asilimia flani.
Ngoja tuone, nahisi watakuwa wanafinalize baadhi ya vitu ili hayo maeneo yaletewe watuWanaofanya usajili Simba sidhani kama wana uelewa wa mpira kabisa. Nildhani kwenye dirisha hili dogo ndio ungekuwa muda sahihi wa THANK You kwa Boko na Saidoo lakini badala yake eti wanambembeleza Saidoo akubali kusaini mwaka mmoja. Mapungufu makubwa mawili kati ya mengi yaliyopo kwa sasa Simba ni kiungo mkabaji na mshambuliaji wa kati anayejua kufunga kwa kutumia nafasi nyingi zinazotengenezwa na viungo na mawinga. Hayo mapungufu mengine achananeni nayo siyo makubwa sana yatazibwa wakati wa dirisha kubwa. Nilitegemea mpaka sasa hivi Simba ingekuwa imeshawapeleka kambini kiungo mkabaji na mshambuliaji wa kati ili waanze kuzoeana na wenzao.
Wazee wa 10 percent hawawezi kukubali boko na said waondoke maana ndio vitega uchumi vyao.Wanaofanya usajili Simba sidhani kama wana uelewa wa mpira kabisa. Nildhani kwenye dirisha hili dogo ndio ungekuwa muda sahihi wa THANK You kwa Boko na Saidoo lakini badala yake eti wanambembeleza Saidoo akubali kusaini mwaka mmoja. Mapungufu makubwa mawili kati ya mengi yaliyopo kwa sasa Simba ni kiungo mkabaji na mshambuliaji wa kati anayejua kufunga kwa kutumia nafasi nyingi zinazotengenezwa na viungo na mawinga. Hayo mapungufu mengine achananeni nayo siyo makubwa sana yatazibwa wakati wa dirisha kubwa. Nilitegemea mpaka sasa hivi Simba ingekuwa imeshawapeleka kambini kiungo mkabaji na mshambuliaji wa kati ili waanze kuzoeana na wenzao.