Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha dogo ligi kuu Tanzania bara 2023/2024

Babakar Starr kiungo mkabaji raia wa Senegal kutoka US Monastir ya Tunisia kama nilivyosema hapo awali amewasli bongoland na tayari ni mnyama
Sijaona popote kwenye vyanzo, vikionesha kuwa ametokea Monastir bali hakuwa na timu kwanzia msimu wa 2020
 
Sijaona popote kwenye vyanzo, vikionesha kuwa ametokea Monastir bali hakuwa na timu kwanzia msimu wa 2020View attachment 2863588View attachment 2863590
Sio huyu mkuu umechanganya mafile, Babacar Sarr wapo wawili huyo mwenye miaka 32 aliyewahi kuchezea Molde sio aliyesajiliwa na Simba Sc,Babacar Sarr aliyesajiliwa na Simba ana miaka 26 na kabla ya kusajiliwa Simba Sc alikuwa akiitumikia miamba ya Tunisia Us Monastir
 

Attachments

  • Screenshot_20240106-150154_Chrome.jpg
    62.4 KB · Views: 7
  • Screenshot_20240106-150210_Chrome.jpg
    103 KB · Views: 7
Hapo sawa. Ila inaonekana kacheza kwa kipindi kifupi sana Monastir July-November 2023. Ishu ni nini?
 
Majina yanafanana hadi uraia, nimewachanganya
 
Nassoro Kapama katimuliwa Simba SC
Kwenye Ulimwengu wa soka wa Kisasa haiwezekani "kumtimua" mchezaji, labda useme kavunjiwa mkataba wake. Mchezaji wa kulipwa hatimuliwi kama ilivyo kwenye ridhaa.
 
30. Simba SC inafikiria kuachana na wachezaji wake. Shaban Chilunda, Steven Mwanuke, Ahmed Feruz, Abdallah na Nassoro Kapama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…