Dube daah huyu jamaa basi tu kaka, walau hapo tumuweke Mzize kuliko Dube.Mjomba yule ni Muangola. Na amekuja kama chaguo la mwalimu, ambaye amewahi kuifundisha timu ya Taifa ya Angola.
Kwa namna alivyocheza jana na Prince Dube pale mbele, hakika kuna hatari kubwa inakuja kwa timu pinzani siku za usoni! Yaani timu iwe na Damaro, Duke Abuya, Allan Okello, Pacome, Depu, Nzengeli, na Dube!! Ni hatari na nusu.
mmetuletea tn akna ahuaa sjui kna putin mara mutale haya kaz kwenu DEPU, OKELO, YAO, WANAWASUBIRI.Karibu Simba SC, Ismael Toure.View attachment 3532085
mzize anatakiwa aanzie benchi na acheze kama winga anayofosi namba 9 hakuna rangi itaacha onekana kwa mpnzani.Dube daah huyu jamaa basi tu kaka, walau hapo tumuweke Mzize kuliko Dube.
Huko benchi kutakuwa kwa moto mno, nimefurahi kumwona Yao. Uzuri ni kwamba sio Yao wala sio Mwenda, yeyote yule akianza hapo lazima akiwashe ipasavyo.mzize anatakiwa aanzie benchi na acheze kama winga anayofosi namba 9 hakuna rangi itaacha onekana kwa mpnzani.
shida ya mwenda na kibwana wanazdiwa mbali sn yao linapofka swala la kushambulia na kupga cross zny matokeo siyo ili mradi tu yao ni shda kwa upande huo kutokana na ubora wake ndiyo maana dirisha dogo timu imeamua kumjumuisha haraka sn.Huko benchi kutakuwa kwa moto mno, nimefurahi kumwona Yao. Uzuri ni kwamba sio Yao wala sio Mwenda, yeyote yule akianza hapo lazima akiwashe ipasavyo.
Ikikupendeza umkribishe pia na Mwamba wa Lusaka Clotus Chama! Kwa mara nyingine tena 🔥🔥😝Karibu Simba SC, Ismael Toure.View attachment 3532085