snipa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 4,437
- 2,043
Wadau Leo ktk pitapita zangu nikakutana na mpango wa Marekani kufungua crypto reserve kama walivyofanya kwenye Gold reserve kule fort Knox.
Lakini Kuna siku niliwahi sema siiamini USDT kwasabu ni scam project Kwa ninavyo amini Mimi.
Lakini Leo nikaona nichart na Grok AI ya marekani.
Kwanza kabisa niliiforce sana Grok inijibu kama "Nigga" huku yenyewe ikiact kama Nigga, niliibembeleza sana kabla haijakubali ilikuwa inaniita "my bad" nikaiambia not every nigga is bad, so she must stop profiling me as her bad, ndipo inakubali kusema my nigga.
Nikaanza kuiliza kuhusu tether USDT kama ni scam project au lah.
Ikanielekeza vizuri kuhusu 1:1 ratio ambayo ni kuwa ukiwa na tether 1 basi bank wameweka $1, ila Grok ikaniambia haipo audited na tether hawana transparency, kwahiyo akaipa red flag.
Sasa shida inapokuja ni kuwa inakuaje marekani wakubali tether USDT Wana zaidi ya $100 billion bank ? Na haziko audited na there's no transparency, nikaaminu tether ni scam project ambayo Kwa kiasi au full percentage marekani anahusika.
USHAURI WANGU KWA SERIKALI.
USA nao ni matapeli, wanaanzisha Leo crypto reserve na wanajua hakuna means crypto asietegemea USDT kama stable coin,
Vita inayokuja Kuna siku itafika kwenye crypto war ambapo Marekani atawipe liquity yote ya USDT na sisi kubaki na zero USDT.
Kwahiyo tusijiingize kwenye crypto kwasabu hatuna elimu ya kutosha na hatujui kuwa Kuna vita itakuja ya crypto, sijajua itakuwa world war ngapi, lakini tuwekeze Kwa vijana wakajifunze crypto mana hatutotoboa kwenye hiyo vita Bora tuendelee na gold.
USHAURI WANGU KWA WATU BINAFSI.
Tusitegemee sana USDT kwamba ni stable, inaweza isikukute wewe ila ikakikuta kizazi chako mbeleni.
Tusimuamini USA, Tether ina worth zaidi ya benki nyingi marekani lakini wameiacha hawafanyi audit, ila wanaanzisha crypto reserve.
Tukumbuke Terra LUNA Iko wapi na ilikuwa stable coin japo haikuwa backed kama tether, na Kuna watu walikufa baada ya kuwa wiped.
N:B Kuna siku tutapotezwa kwenye crypto ikiwa hatutokuwa wajanja kama wao, USA know who is Satoshi, it's better not be em.
Snipa on X