Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Sasa wapiga kura, wananchi, walipa kodi, tumeanza kujua kiini cha Teua-Tengua zinazoendelea kila baada ya miezi miwili au mitatu.
Wengi wanaokumbwa si kwamba hawafanyi kazi, la hasha!
Wengine si kwamba ni wabadhirifu, la hasha!
Inavyoelekea, hizi Teua-Tengua msingi wake ni mmoja tu- kuhakikisha hakuna mwenye mtaji wa urafiki, fedha na ushawishi, anajitengenezea mfumo, au mtandao wake wa 2025!
Hivyo Teua-Tengua zitaendelea, ili nyie wenye macho kudu kwa kiti cha Urais, 2025, mahesabu yenu yasikae sawa.
Ni maoni yangu!
Sijui nami nigombee?