Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Huwezi kusikia huyu maza ametengua watu kutoka Tanga, Pwani na Zanzibar ndiyo ujue maza ni mdini kupita kiasi
Teua-Tengua zinatuma ujumbe mwingi.Huwezi kusikia huyu maza ametengua watu kutoka Tanga, Pwani na Zanzibar ndiyo ujue maza ni mdini kupita kiasi
Makonda alikuwa anajijenga mwenyewe na kumponda bosi wake. Hivyo ilikuwa ni lazima atenguliwe.Inavyoelekea, hizi Teua-Tengua msingi wake ni mmoja tu- kuhakikisha hakuna mwenye mtaji wa urafiki, fedha na ushawishi, anajitengenezea mfumo, au mtandao wake wa 2025!
Maza ni mdini nami namuunga mkono kwakuwa nami ni mdini kupitia kiasiHuwezi kusikia huyu maza ametengua watu kutoka Tanga, Pwani na Zanzibar ndiyo ujue maza ni mdini kupita kiasi
Binafsi namuona Mteuzi na mtenguzi hayupo competent na washauri wake wana mmislead.Sasa wapiga kura, wananchi, walipa kodi, tumeanza kujua kiini cha Teua-Tengua zinazoendelea kila baada ya miezi miwili au mitatu.
Wengi wanaokumbwa si kwamba hawafanyi kazi, la hasha!
Wengine si kwamba ni wabadhirifu, la hasha!
Inavyoelekea, hizi Teua-Tengua msingi wake ni mmoja tu- kuhakikisha hakuna mwenye mtaji wa urafiki, fedha na ushawishi, anajitengenezea mfumo, au mtandao wake wa 2025!
Hivyo Teua-Tengua zitaendelea, ili nyie wenye macho kudu kwa kiti cha Urais, 2025, mahesabu yenu yasikae sawa.
Ni maoni yangu!
Sijui nami nigombee?
Unaijua madhabahu ya Tanga?Huwezi kusikia huyu maza ametengua watu kutoka Tanga, Pwani na Zanzibar ndiyo ujue maza ni mdini kupita kiasi
Kunatubika billions of money kwennye hizi teuziSasa wapiga kura, wananchi, walipa kodi, tumeanza kujua kiini cha Teua-Tengua zinazoendelea kila baada ya miezi miwili au mitatu.
Wengi wanaokumbwa si kwamba hawafanyi kazi, la hasha!
Wengine si kwamba ni wabadhirifu, la hasha!
Inavyoelekea, hizi Teua-Tengua msingi wake ni mmoja tu- kuhakikisha hakuna mwenye mtaji wa urafiki, fedha na ushawishi, anajitengenezea mfumo, au mtandao wake wa 2025!
Hivyo Teua-Tengua zitaendelea, ili nyie wenye macho kudu kwa kiti cha Urais, 2025, mahesabu yenu yasikae sawa.
Ni maoni yangu!
Sijui nami nigombee
Kama alivyo mamakoHuwezi kusikia huyu maza ametengua watu kutoka Tanga, Pwani na Zanzibar ndiyo ujue maza ni mdini kupita kiasi
Ndiye Rais na Mwenyekiti wa chama, ubavu anao!Binafsi namuona Mteuzi na mtenguzi hayupo competent na washauri wake wana mmislead.
Kwani kiranja mkuu kisha kuonyesha nia ya kuwania urais?Mlengwa Hasa ni Kiranja mkuu, tatizo ni hawezi mtoa,
Ni Hadi amalize muda wake.
Hata mumeo naye yupo hivyoKama alivyo mamako