Teuzi mbalimbali kujaa majina ya watoto wa viongozi na vigogo Serikalini kama taifa tunaelekea wapi?

Mwanao au watoto wako hata mmoja, kupata madaraka au kazi nzuri yawezekana, na Kama kasoma kachangamka, machachari, je wapenda Mambo ya siasa,?
 
Mwanao au watoto wako hata mmoja, kupata madaraka au kazi nzuri yawezekana, na Kama kasoma kachangamka, machachari, je wapenda Mambo ya siasa,?
Hongera mkuu, kwa kuendelea kuwa na imani na nchi yako naamini wewe ni miongoni mwa wale wachache waliosalia ambao bado wanaishi katika tumaini jema la hapo awali kabla mafaili hayajapandiliana.
 
Kwa kuwa unakula bado kwenu uwezi kujua kama hata ukipambana vipi katika maisha siku zote kuna ukomo na kuna jambo huwezi lifikia endapo ukiwaendekeza na kuwatukuza wanaokudidimiza daima utakuwa kidampa wao, wewe na kizazi chako chote.

Jibu swali acha ngonjera, Mtoto wa nani alishikwa China? Naomba a credible source ya hiyo habari na sio hearsay za vijiweni. A credible source.

Kama utaendelea kulalamikia wengine for your own shortcomings utaendelea kuwa hapo hapo ulipo abadan. Pambana wanao wasijikute in the same spot au unaamini huwezi toboa sababu mzazi wako sio kigogo 🤣 🤣
 
Wakati Kuna watu tulisoma nao, makapuku kwao Hali duni walisomea vibatali, Leo hii maboss Ile mbaya, wengine ma Dr hospital za rufaa, na Wala hawakupata nafasi kwa koneksheni, na wamebadilisha Maisha ya makwao.
 
Wakuu wa wilaya ni watoto wa Viongozi wengine mtangoja sana
 
Wakati Kuna watu tulisoma nao, makapuku kwao Hali duni walisomea vibatali, Leo hii maboss Ile mbaya, wengine ma Dr hospital za rufaa, na Wala hawakupata nafasi kwa koneksheni, na wamebadilisha Maisha ya makwao.

Exactly. Case in point, MwanaFA, mzazi ni nani kwenye taifa hili? Mwenyewe kasema mara kadhaa hajalelewa na wazazi wake.

Huyu jamaa ni wale watu wanaopenda kucheza victimhood na kuwapa wengine lawama kwa failures zao. Asipobadilika hata watoto wake watajikuta in the same boat.

Mimi siwezi kuwa na pesa afu nikataka mwanangu aanze maisha duni, lazima nimpe mali na connection vinginevyo nimefeli. Polisi, jeshini wamejaa watoto wa mapolisi hilo haoni ila anaona watoto wa wanasiasa hawafai kuwa wanasiasa hata kama wana vigezo sijui katiba gani inasema hivyo.
 
Siwezi kuendelea kujibishana na mtu mwenye mtizamo kinzani na ule wa kwangu maana hakuna kitakachoendelea zaidi ya kula ban
 
Wakati Kuna watu tulisoma nao, makapuku kwao Hali duni walisomea vibatali, Leo hii maboss Ile mbaya, wengine ma Dr hospital za rufaa, na Wala hawakupata nafasi kwa koneksheni, na wamebadilisha Maisha ya makwao.
Hatusemi kuwa hawapo lakini tunachoitaji waendelee kupenya zaidi katika soko la ajira nchini watu wa kariba hiyo kuliko nafasi nyingi kuhodhiwa na watoto wa vibosile.
 
Kuna tofauti kubwa kati ya mtu anayeangalia maslahi mapana ya taifa na mtu anayejizungumzia binafsi na hii ndiyo tafsiri mbili za aina ya viongozi: Anayefanya kwa ajili ya umma na Anayefanya kwa ajili yake binafsi.
 
Hatusemi kuwa hawapo lakini tunachoitaji waendelee kupenya zaidi katika soko la ajira nchini watu wa kariba hiyo kuliko nafasi nyingi kuhodhiwa na watoto wa vibosile.
Ndomana nakuambia hata watoto wako wanaweza kuwa pazuri tu.
 
Dah, me binafs mwenzenu ndio nishakata tamaa.
Mpaka muda huu bado niko machimboni nachimba madini.
Watoto wangu wanasoma sant kayumba, hivi kweli si umasikini tuu mpaka kaburini!!!

Roho inaniuma lakini hata nikilia ni bure tu, maana umasikini hata Baba yangu aliukuta.
 
Kuna tofauti kubwa kati ya mtu anayeangalia maslahi mapana ya taifa na mtu anayejizungumzia binafsi na hii ndiyo tafsiri mbili za aina ya viongozi: Anayefanya kwa ajili ya umma na Anayefanya kwa ajili yake binafsi.

Huko hakuondoi personal responsibility, mathalani, ALMA kufariki kwa madawa ni personal responsibility. It's absurd kumlaumu kiongozi kwa kifo cha mtu kwa madawa.
 
Siwezi kuendelea kujibishana na mtu mwenye mtizamo kinzani na ule wa kwangu maana hakuna kitakachoendelea zaidi ya kula ban

Nipe a credible source and call it a day otherwise hii ni story ya vijiweni kama kuamini vichaa wote ni uslama wa taifa.
 
Nipe a credible source and call it a day otherwise hii ni story ya vijiweni kama kuamini vichaa wote ni uslama wa taifa.
Kama unataka haki za hao m*b*sha zako nenda mahakamani ukapate hizo credible source ili uji-console na ego yako..'mpunga wa nzega'.
 
Huko hakuondoi personal responsibility, mathalani, ALMA kufariki kwa madawa ni personal responsibility. It's absurd kumlaumu kiongozi kwa kifo cha mtu kwa madawa.
Kama Serikali ikitimiza wajibu wake vyema unadhani hakina alma wako wangeyatoa wapi hayo madawa ya kuwashawishi wavushe toka Tz kwenda kuyauza huko bondeni, kwani huyo alma ana uwanja wa ndege? ana vyombo vya ulinzi na usalama? ni tajiri hata useme aliagiza mzigo wa madawa ya kulevya ulaya? na baada ya huyo alma kufa nani mwingine alichukuliwa hatua kwa mkasa huo?
 
Kwanza, hakuna conclusive evidence inayosema the late ALMA alifariki kwa madawa, hizo ni story za vijiwe, inaonekana we jamaa unashinda sana vijiweni.

Pili, nchi zilizoendelea hakuna watu wanaotumia madawa/kusafirisha madawa? Wamekosa nini? Ipo siku utailaumu serikali kwa kugongewa mkeo.

Kama unataka haki za hao m*b*sha zako nenda mahakamani ukapate hizo credible source ili uji-console na ego yako..'mpunga wa nzega'.

Matusi don't make you any more credible zaidi unaonekana zwazwa kwa kushindwa kutoa uthibitisho wa habari yako. Acha ngonjera kama mama wa kambo, leta credible soure end of the story. Acha kukaa vijiweni

Inasaidie kuprove point yake kwanza then tuendelee kujadili namna ya kujinasua

Hivi hajaweka uchambuzi what if anatudanganya mkuu?
Current affairs hizi mkuu huwezi kosa kujua.

Kila mtu mwenye ndevu ama matiti kifuani anaelewa mambo yanavyokwenda nchini mwake, siyo mpaka utajiwe majina!

Na kinacho tugonganisha mawazo hapa ni ushabiki na mahaba niue kwa upande mtu anakokuona ndiyo sahihi kwake ama anakonufaika nako.

Lakini kusema mpaka mtu akutajie ndiyo u prove, huo ni utani kama ulivyo utani mwingine tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…