Teuzi mbalimbali kujaa majina ya watoto wa viongozi na vigogo Serikalini kama taifa tunaelekea wapi?

Teuzi mbalimbali kujaa majina ya watoto wa viongozi na vigogo Serikalini kama taifa tunaelekea wapi?

maji ufuata mkondo hata uzunguni watoto wa watawala upata nafasi
Angalau kidogo kwa wazungu.
kwa wazungu hakunaga unafiki na demokrasia za mazingaombwe wao kule anawekwa mtu kwaajili ya agenda fulani na taifa linatambua nin kinaendelea. ila tz na africa kwa ujumla ni utapeli mtupu
 
HIKI CHAMA KINA WENYEWE JAMANI NA WENYEWE NDY HAO UKIPATA KOFIA LAKO LA KIJANI NA FULANA OVER SIZE HIYO NDY POSHO YAKO.
Ninamaoni yangu kwamba inawezekana kampeni za 2025 wapambe watavaa viatu vya chama.
Itapendeza sana kuanzia mguuni hadi kichwani mtu amelipuka pamba sare
 
Cha msingi tusilalamike. Tupambane ili tuwatoe walipo nasi tufaidi. Tukilalamika bila kupambana tutaendelea kuwa walalamikaji wa kudumu....

Wao walimtoa mkoloni mweupe, kazi kwetu kumtoa mkoloni mweusi
Mkuu mbali na kuwa mtanzania mlipa kodi, ninae tii sheria za nchi na kufanya kazi kuhudumia familia unataka nipambane namna gani ili fursa za ajira na uongozi serikalini ziwe znakuwa shared equally?

tupo akina sisi hatujui siasa na hatuna mpango na nafasi za uongozi serikalin lkn tunataka kuona kuna usawa kwa watanzania wote kwenye nafasi za juu za uongozi.
 
Lakini si tulisema sisi kujipendekeza hatuwezi kudanganya ovyo hatuwezi kufanya vijembe na kuroga mikutano ya vyama shindani si hatuwezi
Ila hatukuwahi kukubaliana kuwa hatutonyoosha palipo pinda endapo suala la maslahi ya watanzania litakapoguswa au kuchezewa na ngedere yeyote yule
 
Sitokujibu moja kwa moja ila naomba utafakari hili; Huyo marehemu unayemuenzi kwenye avatar yako aliwahi kuimba nipeni dili.."

Matokeo yake kutokana na mfumo corrupt tunaouzungumzia hapa ulikatisha ndoto za kijana huyu masikini aliyetamani siku moja kuwa na kipato kizuri.

Alijikuta yeye na wasanii kadhaa wakigeuzwa vitega uchumi vya uuzaji na usambazaji ngada mpaka pale mauti yalipomfika na siyo yeye tu bali tumeshapoteza nguvu kazi kubwa ya vijana wa taifa hili kwa upuuzi huu huu wakuendekeza mambo ya ovyo.

Maan you're reaching, yani kifo cha huyu mkali unataka kubebesha watu wengine lawama?

Assuming ngada kweli ilimuua, alilazimishwa kubeba? Was he at gunpoint kuwa punda au kula ngada?

Watu wote wenye hali ngumu wanabeba/kula ngada? Kwanini yeye?

MwanaFA ni mtoto wa nani mbona kawa N.Waziri?

Victimhood na kukimbia wajibu wako hakumfikishi mtu popote pale.
 
Mkuu mbali na kuwa mtanzania mlipa kodi, ninae tii sheria za nchi na kufanya kazi kuhudumia familia unataka nipambane namna gani ili fursa za ajira na uongozi serikalini ziwe znakuwa shared equally?

tupo akina sisi hatujui siasa na hatuna mpango na nafasi za uongozi serikalin lkn tunataka kuona kuna usawa kwa watanzania wote kwenye nafasi za juu za uongozi.
Ndio hivyo tena bahati imeshakupita. Wenyewe wameshajiamulia kula kwa urefu wa kamba zao...
 
Maan you're reaching, yani kifo cha huyu mkali unataka kubebesha watu wengine lawama?

Assuming ngada kweli ilimuua, alilazimishwa kubeba? Was he at gunpoint kuwa punda au kula ngada?

Watu wote wenye hali ngumu wanabeba/kula ngada? Kwanini yeye?

MwanaFA ni mtoto wa nani mbona kawa N.Waziri?

Victimhood na kukimbia wajibu wako hakumfikishi mtu popote pale.

Siyo mara zote binadamu kuonekana akifanya jambo huwa mara zote ni hiari yake (pengine alishinikizwa kufanya hivyo uwezi jua no matter what kuna kituo cha habari kinajidai kinamuenzi sana but in reality ufanya hivi kwa kuwa pia walimtumia sana kijana kujinufaisha)

Hivyo si by accident awamu ile wasanii wengi kuangukia katika biashara hii lazima katika mfumo kulikuwa na shida mahali iliyopelekea biashara hiyo kushamiri nchini na kupelekea ushawishi unaoonekana na usioonekana kwa vijana hawa kujihatarisha na kuna mtoto wa mkubwa awamu ile alidakwa kwenye sakata hilo huko china na matokeo yalikuwa worst kwa taifa.

Unapotaja watu maarufu kama ma-celebrity na watu wenye ushawishi mkubwa kwenye jamii kupewa vyeo na upendeleo katika nyanja fulani fulani ili limezoeleka na inafahamika kabisa kuwa wanasiasa uwatumia watu hawa kama ngazi yakupata power na ushawishi mkubwa kwa watu na mashabiki zao kama wewe hapo.
 
Kumpa mtu lawama kwa matendo yako is nonsensical. Hakuna mtu anayekazimishwa kufanya jambo lolote lile.

Namkubali ALMA to the core but for the life of me siwezi mpa mtu mwingine lawama kwa matendo yake. Yeye sio wa kwanza kuwa na changamoto na wengi Wana wanachangamoto zaidi yake na hawajaenda kwenye madawa.

Mtoto wa nani alishikwa China? Naomba a credible source ya hiyo habari na sio hearsay za vijiweni. Credible source tafadhaali.

Naona unaamini sana story za vijiweni na kupenda blamegame utalalamika sana mkuu wakati watu kama kina FA wanatoboa na hawana refa wala nini.

Usipojenga kesho yako, wanao wataanza from ground zero wakati wengine watakuta foundation tayari kama mnaowaita watoto wa vigogo. Kupanga ni kuchagua.
 
Kuna watu kibao wamepigania uhuru na nyerere. Ila nao hawapewi nafasi

Mzee Mohamed Said analia humu kila siku

Said ni mdini period. Watu anaowatetea mchango wao ni negligible, kama ungekua significant ungeonekana tu.
 
Nipo nawaza tu kama mwanangu nae ipo siku mtamkumbuka kwenye teuzi zenu ama ndiyo atakula kulingana na urefu wa kamba ya baba yake ilipoishia.

Kweli maisha kwa masikini ni ndoto isiyofikika, dunia uwanja wa vita na sisi ndiyo tunaopiganishwa, masikini mwenzangu hamka ukachakarike uitafutie familia mlo wa siku na ulipe kodi yao, kumbuka kuwa wapo wavuja jasho na wapo wanaofaidi matunda ya keki hiyo..bahati nikubahatika kuwa na mkono mrefu utafikiwa.

Walianza babu zao sasa wamemaliza mzunguko wa baba zao katika ufalme, picha linaashiria kabisa ni kuwa wazazi wanawapokeza mikoba watoto wao kurithi miliki wakati mwanangu namrithisha jembe la mkono na ardhi yenye ugumba kwa kukosa mbolea na pembejeo ni wazi wananing'ong'a.

Hata ile ada niliyotumia kumsomesha nikidhani ndiyo ukombozi nayo imeishia matumboni mwao hivi sasa wananikejeli tu wakinena kwa vinywa vyao vinavyonuka rushwa,upendeleo, ubinafsi na unafiki..ajira nichache mwambie mwanao ajiajiri aache uvivu mbona kazi ni nyingi tu graduate kafuge hata bata...huku bata la masaki hajui anachokula watabata kweli wanao haki kuna day watapata.. dunia ni njema ila walimwengu hawana maana.
Tunaelekea pabaya.
 
Hivi kwann baba wa taifa hakufanya hivyo!??

Makongoro Nyerere ni nani?

Mtoto wa kiongozi ana haki zote za kuwa kile atakacho kama watoto wa walinzi wanavyokuwa walinzi as well au watoto wa mapolisi wanavyokuwa mapolisi pia so long as wana vigezo.

Hizi hasira mzipeleke kwa wazazi wenu na nyie mjenge kesho zenu wanenu wakute foundation badala ya kuanza from ground zero
 
Ni kama kwenye mpira huwezi kumchukua dokta akawe golikipa
Ndugu zangu watanzania wenzangu hatuna rais. Hajitambui anaendeshwa ns kundi la wahuni. Halafu agombee 2025? Huyu mama ni mswahili mpaka anatisha. Kwanza kuna watu anawaogopa. Rais amiri jeshi mkuu unaogopa kima gani nchi hii? Ndiyo maana hats Marekani hawajawa na rais mwanamke. Mwanamke bado sana hapa kwetu
 
Nipo nawaza tu kama mwanangu nae ipo siku mtamkumbuka kwenye teuzi zenu ama ndiyo atakula kulingana na urefu wa kamba ya baba yake ilipoishia.

Kweli maisha kwa masikini ni ndoto isiyofikika, dunia uwanja wa vita na sisi ndiyo tunaopiganishwa, masikini mwenzangu hamka ukachakarike uitafutie familia mlo wa siku na ulipe kodi yao, kumbuka kuwa wapo wavuja jasho na wapo wanaofaidi matunda ya keki hiyo..bahati nikubahatika kuwa na mkono mrefu utafikiwa.

Walianza babu zao sasa wamemaliza mzunguko wa baba zao katika ufalme, picha linaashiria kabisa ni kuwa wazazi wanawapokeza mikoba watoto wao kurithi miliki wakati mwanangu namrithisha jembe la mkono na ardhi yenye ugumba kwa kukosa mbolea na pembejeo ni wazi wananing'ong'a.

Hata ile ada niliyotumia kumsomesha nikidhani ndiyo ukombozi nayo imeishia matumboni mwao hivi sasa wananikejeli tu wakinena kwa vinywa vyao vinavyonuka rushwa, upendeleo, ubinafsi na unafiki...

Ajira ni chache mwambie mwanao ajiajiri aache uvivu mbona kazi ni nyingi tu graduate kafuge hata bata...huku bata la masaki hajui anachokula watabata kweli wanao haki kuna day watapata.. Dunia ni njema ila walimwengu hawana maana.
Hebu anglia uhuni wa Yusuf Makamba, awajibu waandishi wa habari kihuni, anapewa nafasi kuhutubia mkutano mkuu CCM anatukana anavyotaka anachekewa maana aliandaliwa. Mtoto wake mhuni tu ndiyo waziri wa wizara nyeti. Anapeleka bajeti ya matrilioni kwa kazi ambazo hazieleweki na rais anapitisha nje ya bajeti ilihopitishwa na bunge. Mungu atunusuru hatuna kiongozi. Kuna haja gsni kumng'ang'ania Mchechu?
 
Kajamba Nani hebu MJIAJIRI.

Kalimeni au kama hamtaki Kafanyeni UMACHINGA mpate nguvu ya kushabikia sisi Watoto wa VIGOGO Kupita na ma-VI8.

Msisahau ni lazima kulipa KODI na USHURU
 
Umeshawahi kwenda Dodoma kufuatilia kibarua utumishi ukitokea Mtwara,Musoma au Mbeya kisha ukalala kwa gharama zako huko siku nne kusubiria written ukarudi zako nyumbani baada ya wiki ukaitwa oral na baada ya hapo ukatemwa bila ajira unajua hili linavyom-cost mtu asiye na uelekeo kitaa?
 
Makongoro Nyerere ni nani?

Mtoto wa kiongozi ana haki zote za kuwa kile atakacho kama watoto wa walinzi wanavyokuwa walinzi as well au watoto wa mapolisi wanavyokuwa mapolisi pia so long as wana vigezo.

Hizi hasira mzipeleke kwa wazazi wenu na nyie mjenge kesho zenu wanenu wakute foundation badala ya kuanza from ground zero
Kwa kuwa unakula bado kwenu uwezi kujua kama hata ukipambana vipi katika maisha siku zote kuna ukomo na kuna jambo huwezi lifikia endapo ukiwaendekeza na kuwatukuza wanaokudidimiza daima utakuwa kidampa wao, wewe na kizazi chako chote.
 
Back
Top Bottom