Bila shaka atakuwa jaji wa pili kubadishwa katika kesi hii, au atakuwa na uwezo wa kuendelea nayo. Ufafanuzi tafadhali, au huyu ni Siami mwingine?Jicho la tatu...
Kesi ya Mbowe imeleta shida sehemu...
Itabidi atafutwe Jaji mwingine ili alete Suluhu..
Hapo ndipo umuhimu wa Katiba Mpya unapoonekana
Ila Zandramo hapendi haki na hapendi kuona haki ikitendeka.Jaji Siyani ni Mfano mzuri kwa Majaji wengine.
ni mtu mtenda haki na mpenda haki, ni mtu asiye penda uonevu, asiye penda majungu wala fitina ni mtu mwenye maono,
mchapa kazi asiye choka.
bado kijana ana nguvu ya kuleta mabadiliko.
Hakika ataisafisha mahakama na itaboreka zaidi.
Hayati JPM angekuwa bado hai naamini mchakato wa kutafasiri sheria zingine kutoka lugha ya kingereza kwenda kiswahili unge kuwa umekamilika, ila kwa sasa zoezi la kutafasiri sheria mbalimbali unasuasua!!! yaaani ni kama vile hautakiwi ukamilike haraka!!!Mkuu zandrano umekuwa mzalendo wa kukipigania kiswahili kuliko hata wenye dhamana kama vile BAKITA au TUKI.
Nakuunga mkono, Matumizi ya Lugha ya kiswahili ni Muhimu sana ktk kutoa haki za watanzania.
Sheria ilipitishwa Na Bunge kuwa Ruksa sasa Kwa Majaji wetu Na mahakimu wetu kuandika Na kutoa hukumu Kwa lugha ya kiswahili lkn cha kushangaza ukifika mahakamani hadi leo bado hukumu zinatolewa Kwa lugha ya kiingereza!! Kweli wananchi wengi wanakerwa sana Na hali hii!!
Inaonekana wazi Muhimili wa Mahakama hauko tayari kutumia lugha ya kiswahili kutoa haki ZA wananchi, kinacho fanyika ni kuwahadaa tu, sielewi kwa nini Na Kwa masilahi ya nani?!
Wananchi wanaomba Lugha ya kiswahili itumiwe Na Majaji Na mahakimu ktk kutoa haki zao.
Hizi kazi zinapaswa kuombwa na watu wenye sifa......wafanye interview publicly kama Kenya vile hii teuwa teuwa huleta maneno.....Comments kama hizi za kidini hazipaswi kutolewa na mtu yeyote anae elewa mambo. Ni chembe chembe za kurutubisha bomu la religious conflicts. Tutafute historia ya mataifa yaliyopitia hii adhia watuambie na tujifunze. Uteuzi wa Mh Raisi unazingatia uweledi na sifa za mteuliwa bila ya dini yake. Hivi, leo tukianza kuhesabiana kuwa huyu dini gani tutafika kweli. Think twice before posting such a thug post
Sophia mjema kala dodo, baada ya yule wa kisarawe hadi sasa temeke kuwa na shingo ngumu ya kuolewa, hiyo ndio ilikuwa nafasi yake.....tulimsutua humu toka mwaka jana......watu wakapiga domo humu balaaa
Udini na ukabila wa chifu h mbona unatisha sana? Ni yeye au ni mzee wa msonga?Wadau maoni yenu please Jaji za Zenji anafit kuja Tz? Maana zamani hata wakuu wa mikoa znz walikuwa wanateuliwa na Rais wa JMT baada ya mabadiliko ya katiba ta SMZ madaraka ya uteuzi wakawa chini ya Rais wa ZNZ na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, sasa kumtoa Jaji aliteuliwa na Rais wa SMZ sio kuingilia Mamlaka ya SMZ?
View attachment 1968490
Ukikua utaelewaUdini na ukabila wa chifu h mbona unatisha sana? Ni yeye au ni mzee wa msonga?
Na ndio kitamtoa kwenye gemHuyu mama anaiga kila kitu ya jiwe, bado tu kugawa pesa barabarani
Wapagani ndio tumesahaulika kabisa.Waislam zamu yetu bana
Wewe nawe JPM hakutoki kichwani tangu akutumbue enzi hizo.Huyu mama anaiga kila kitu ya jiwe, bado tu kugawa pesa barabarani
Yaani utafikiri alimkaba tyakoWewe nawe JPM hakutoki kichwani tangu akutumbue enzi hizo.
Ndio wasomi. Si mlikuwa mnasema waislam hawana wasomi. Vp sasaCJ ni Muislam
JK ni Muislam
Msajili Wa Mahakama Tz ni Muislam
Nahisi kuna kitu hapa hasa ukiangalia ile kesi ilivyokaa kisiasa.
CJ ni Muislam
JK ni Muislam
Msajili Wa Mahakama Tz ni Muislam