TEUZI: Rais Samia amteua Jaji Mustapha Siyani kuwa Jaji Kiongozi, Sophia Mjema kuwa RC Shinyanga

TEUZI: Rais Samia amteua Jaji Mustapha Siyani kuwa Jaji Kiongozi, Sophia Mjema kuwa RC Shinyanga

Bakwata Kino Wanaugonga Mwingi Sana. Wateule watatu Wote Ni Bakwata [emoji1786][emoji1786][emoji1786][emoji1786]
Comments kama hizi za kidini hazipaswi kutolewa na mtu yeyote anae elewa mambo. Ni chembe chembe za kurutubisha bomu la religious conflicts. Tutafute historia ya mataifa yaliyopitia hii adhia watuambie na tujifunze. Uteuzi wa Mh Raisi unazingatia uweledi na sifa za mteuliwa bila ya dini yake. Hivi, leo tukianza kuhesabiana kuwa huyu dini gani tutafika kweli. Think twice before posting such a thug post
 
Kwahiyo ulitaka ajiowe mwenyewe? Unadhani kuolewa inatokea tu over one night?
Shida ya huyu Dc wetu, anataka kujionesha bado ni model na kadhalika. Ni mchapa kazi mzuri, nadhani akiachana na mambo ya mitandao akatulia akajikita katika kazi yake, ni moja ya bonge la kiongozi. Sasa kutaka sifa, mara tuambiwe anamchumba sijui Vunja nini? Mara aseme wanaumme wanamuogo kisa tu ukuu wa wilaya?

Nadhani awe na maadili ya kikazi, apunguze kuonekana mitandaoni. Aaache haya mambo ya wasanii, mara kajipa uMc kenywe masherehe. Asije shangaa anaishia hapo hapo na UDs wake.
Siku zote katika maisha lazima ubadilike. Jenga uhusika wa kile ulicho nacho. Alishatoka kwenye u model, sasa angevaa kweli uhusika wa ukiongozi, na kuchapa kazi.

Lakini hii ya kutaka kujionesha mara hivi mara vile inakufanya watu wakuone sivyo.
Swala la kuolewa uwa linakuja tu, ila nadhani huyu mdada anachagua sana. Sidhani kabisa pale Kisarawe kama hakukuwa na mijamaa iliyomtaka kuwa mke.
Achague moja kuwa DC au aendelee na umodel! Au aendelee kushindania Vunja na huyo mdada aitwae mobeto.
Lakini kinaweza kazi. Shida kijizuie kila wakati kuonekana vyombo vya habari kumzidi hata Rais. Oooh! Mara kawezesha ili, mara amefanya hiki. Wakati mwingine utadhani waandishi wa habari wanakujenga kumbe nao bila kujua wanakuharibia kwa wakubwa zako.
 
Hesabu kwenye hii story yake zimegoma. 2006 alikuwa ana miaka 25 halafu 2017 ana miaka 46!!!! Hesabu za KIKWETU!!! 😎😎😎

Wadau maoni yenu please Jaji za Zenji anafit kuja Tz? Maana zamani hata wakuu wa mikoa znz walikuwa wanateuliwa na Rais wa JMT baada ya mabadiliko ya katiba ta SMZ madaraka ya uteuzi wakawa chini ya Rais wa ZNZ na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, sasa kumtoa Jaji aliteuliwa na Rais wa SMZ sio kuingilia Mamlaka ya SMZ?

View attachment 1968490
Hii ni sehemu ya tatizo kwenye katiba yetu, majaji wa kuteuliwa ni tatizo kwani mteuzi huwavuruga. Ili mahakama ziwe na afya inayostahili majaji wawe waajiriwa na si wateule.
 
CJ ni Muislam
JK ni Muislam
Msajili Wa Mahakama Tz ni Muislam[/

Ukiangalia ktk Muhimili wa Mahakam ndugu zetu wa kislamu ni wachache sana ukilinganisha na wengine, nafasi mbalimbali ZA uteuzi kama ZA Majaji, wasajili n.k ni wachache sna!
Uwiano ktk kujenga nchi yetu ni jambo la msingi sana kwani huimarisha uzalendo na mshikano.
Kazi iendelee tulijenge taifa letu Kwa pamoja.
 
Pongezi kwa wateule wote, lkn pongezi nyingi Kwa Jaji Mustafa Siyani kuwa Jaji Kiongozi Mpya wa Mahakama.
Hakika ataijenga Mahakama vizuri.
ajenge usawa ktk mhimili wa mahakama, umoja, upendo na Haki kuanzia ndani ya watumishi wa Mahakama na kwa wananchi.
😂😂😂🤣🤣🤣 Wabongo kwa kusifia mara baada ya kuteuliwa hamjambo na mko vizuri asee!!.

Sasa ngoja ngoma ianze... (in anaupiga mwingi voice)
 
Zenji huu wakati n wao, yajayo yanaogopesha sana lol.
 
Jaji Kiongozi (Principal Judge) na Msajili wa Mahakama Kuu ( Registrar of the Highcourt) ni watu wawili muhimu wanaomsaidia Jaji Mkuu kuendesha Mahakama Kuu. Ila kuna maandiko machache Tanzania yanayoelezea kwa uwazi majukumu yake tofauti na nchi zingine za commonwealth ambapo kila kitu kipo wazi.

Nchini Kenya, jaji kiongozi huchaguliwa na majaji wenziwe wa Mahakama Kuu kuwaongoza kwa muhula wa kipindi cha miaka mitano.

Office of the Principal Judge​

Responsibilities

The Principal Judge in consultation with the Chief Registrar of the Judiciary is responsible to the Chief Justice for the administration of the High Court.
The Principal Judge is elected by the judges of the High Court from among themselves to serve for a non-renewable term of five years. Source : https://www.judiciary.go.ke/leadership/office-of-the-principal-judge/

The Principal Judge of the High Court, Justice Lilian Achode said that the court of appeal was most hit as they have less than 20 judges when the ideal number should be 30 to be able to meet timelines for pending judgments.

Justice Achode said that only ten stations in the whole country are carrying 90 per cent of the backlog with some having pending appeals dating as far back as 2012.

She said the JSC was concentrating on the affected stations by sending more officers to get them out of the “list of shame.”

The Principal Judge said stations like Bungoma, Kisii and Nyeri that were initially on the list of shame but had been salvaged and were now dealing with very recent appeals.

Justice Achode spoke when she led members of the High Court Advisory Committee to meet Bungoma Court User’s Committee (CUC) members and staff of the Bungoma High Court on Thursday at a Bungoma hotel.

Members of the advisory committee include, High Court Judges, George Vincent Odunga and Justice (rtd) Msagha Mbogoli, Justice Achode stated that whereas according to the 2010 constitution, every county should have a high court only 38 counties have been reached due to the simple reason that “we do not have people to take to those counties where we need to take them.”

She said the JCC has made a request to the Chief Justice to fill up the gaps starting with the Court of Appeal whose
vacant positions have already been advertised.

Justice Achode however, called for teamwork and sacrifice among all players in the justice hierarchy to be able to deliver justice to Kenyans on time.

Annette Nyukuli Mumalasi, speaking on behalf of LSK Bungoma branch said there was need for the judicial calendar to be done early and circulated in advance to pave way for proper planning.

Members of the bar decried the habit of judicial officers going away on retreats and other official duties without giving prior notice so they end up in court only to find there is no judge to hear their cases.

They called for a distinction between justice at last and dismissals, saying that most times notices are issued and matters dismissed without a proper hearing.

In evaluating performance, the practitioners proposed that the judiciary should develop a tool that will be used to look at the quality of the judgements and the eventual justice delivered to the people.

A member of the CUC, Martin Wanyonyi said there was need for a modern court with a ramp to be constructed in Bungoma.

Justice Achode said that a huge slash in the development budget allocation for the judiciary this financial year had made it impossible to expand infrastructure.

She said the current Bungoma court was constrained for space and there was no space to construct a ramp adding that a bigger court house would provide different amenities for different people, including persons with disabilities.

She asked the CUC to finalise processing of documents with the ministry of lands for acquisition of more land already identified for construction of a modern court so that funds can be sought.

By Roseland Lumwamu

source : https://www.kenyanews.go.ke/more-judicial-officers-to-be-employed/
 
Shida ya huyu Dc wetu, anataka kujionesha bado ni model na kadhalika. Ni mchapa kazi mzuri, nadhani akiachana na mambo ya mitandao akatulia akajikita katika kazi yake, ni moja ya bonge la kiongozi. Sasa kutaka sifa, mara tuambiwe anamchumba sijui Vunja nini? Mara aseme wanaumme wanamuogo kisa tu ukuu wa wilaya?

Nadhani awe na maadili ya kikazi, apunguze kuonekana mitandaoni. Aaache haya mambo ya wasanii, mara kajipa uMc kenywe masherehe. Asije shangaa anaishia hapo hapo na UDs wake.
Siku zote katika maisha lazima ubadilike. Jenga uhusika wa kile ulicho nacho. Alishatoka kwenye u model, sasa angevaa kweli uhusika wa ukiongozi, na kuchapa kazi.

Lakini hii ya kutaka kujionesha mara hivi mara vile inakufanya watu wakuone sivyo.
Swala la kuolewa uwa linakuja tu, ila nadhani huyu mdada anachagua sana. Sidhani kabisa pale Kisarawe kama hakukuwa na mijamaa iliyomtaka kuwa mke.
Achague moja kuwa DC au aendelee na umodel! Au aendelee kushindania Vunja na huyo mdada aitwae mobeto.
Lakini kinaweza kazi. Shida kijizuie kila wakati kuonekana vyombo vya habari kumzidi hata Rais. Oooh! Mara kawezesha ili, mara amefanya hiki. Wakati mwingine utadhani waandishi wa habari wanakujenga kumbe nao bila kujua wanakuharibia kwa wakubwa zako.
Umeongea exactly nilichotaka kuongea, huyo dada tumesota nae kiasi flan uvccm, tumemwambia sana...tuliza mabodi yako hayo....mamaake mdogo ni waziri....unaangaliwa kila wakati upewe mkoa.....then mamaako wampumzishe kwenye uwaziri...

Kuwa na ndoa fast, upande dalaja la utumishi anakaza kichwaa
 
Tukimsikiliza Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu tunapata picha kuwa majukumu ya jaji kiongozi wa Mahakama Kuu Tanzania ni nafasi ya kiutawala na kiutendaji zaidi kuhakikisha Mahakama zinapata waajiriwa wa kutosha, vitendea kazi, kutatua changamoto zinazojitokeza, kufukuzia bajeti na stahili za wafanyakazi kama mahakimu wafawidhi, majaji n.k

Hivyo jaji Kiongozi kutumika mahakamani kusikiliza kesi, kwa Jaji Kiongozi itakuwa ngumu maana yupo zaidi kusimamia taasisi kama msaidizi na mshauri wa Jaji Mkuu

27 Jan 2020
JAJI KIONGOZI ELIEZER MBUKI FELESHI " HAKUNA URASIMU KUFUNGUA MASHAURI, UNAWEZA KUSIKILWA SIKU HIYO HIYO"

Uongozi wa mahakama umezungumza na wanahabari kwa lengo la kueleze mafanikio ya muhimili huo muhimu ambapo pamoja na mambo ya kupunguza idadi za kesi ambazo hazijapagiwa kusikilizwa, umetangaza mpango wa kujengwa kwa jengo la mahakama kuu Dodoma. Jaji Kiongozi Eliezer Mbuki Feleshi aliwapa wanahabari wasaa wakuuliza maswali ambayo pengine yanahitaji majibu ya kina.
Source : Global TV online
 
Wadau maoni yenu please Jaji za Zenji anafit kuja Tz? Maana zamani hata wakuu wa mikoa znz walikuwa wanateuliwa na Rais wa JMT baada ya mabadiliko ya katiba ta SMZ madaraka ya uteuzi wakawa chini ya Rais wa ZNZ na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, sasa kumtoa Jaji aliteuliwa na Rais wa SMZ sio kuingilia Mamlaka ya SMZ?

View attachment 1968490
Dah HONGERA Mh. Siyani

Boss wangu wa zamani

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
5 October 2021

Aliyekuwa Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Dkt. Eliezer Mbuki Feleshi amshukuru Kabunduguru na kuelezea changamoto za Jaji Kiongozi kufukuzia posho za majaji, kufuatilia utendaji wa watumishi wa Mahakama, kujibu maswali yanayoibuka ya waandishi na ya mitandaoni n.k

Source: Mahakama ya Tanzania
 
Back
Top Bottom