TEUZI: Rais Samia amteua Jaji Mustapha Siyani kuwa Jaji Kiongozi, Sophia Mjema kuwa RC Shinyanga

TEUZI: Rais Samia amteua Jaji Mustapha Siyani kuwa Jaji Kiongozi, Sophia Mjema kuwa RC Shinyanga

Atapelekwa Jaji Kulita, ambae Yeye na Siyami pia Ni Maafisa Vipenyo
Yaani kiufupi atapelekwa mwingine... Itabidi apewe muda kuipitia upya..
Shida ni je.. Akiwa anaipitia.. Atakuwa huru? Hii ni Africa ndugu yangu
 
Naona BAKWATA inang’ara kama sufi.... hongereni kutesa kwa zamu!
Angalia orodha ya Majaji kuanzia Mahakama ya Rufaa na Mahakama kuu,
angalia Wasajili nchi nzima, Mahakimu nchi nzima na watendaji wengine wa mahakama, utagundua walio wengi ni watu wa aina mmoja yaani hakuna uwiano hata kidogo, hii sio sawa kabisa ktk kujenga umoja wa Taifa letu.
Tanznaia lazima ijengwe na watanzania wote.
Angalu Rais anajitahidi kuweka uwiano.
ni vyema mamlaka zingine za uteuzi pia kuzingatia uwiano ili kujenga umoja na mshikamano wa Taifa letu.
 
Mbowe na wenzaie wanaachiliwa na huyu jaji au ushahidi wa Adamoo utakataliwa na kesi ya msingi itaendelea kusikilizwa
Nina wasiwasi kwamba huu ni mkakati maalum wa kuchelewesha kesi hiyo na kuzidi kumdhalilisha Mbowe na si ajabu hata kumfunga.
 
Kama hawatamuchia huyu Jaji aliyesikiliza kesi hii kuendelea nayo basi Jaji atakayepangiwa atadai hajui lolote kuhusu ushahidi wa kesi hii. Hivyo kesi kuanza upya kabisa na Mbowe na wenzie kuendelea kusota lupango kwa miezi mingine chungu nzima.
Yote kwa yote.....Mungu ndio hakimu wa yote tuyafanyayo
 
Angalia orodha ya Majaji kuanzia Mahakama ya Rufaa na Mahakama kuu,
angalia Wasajili nchi nzima, Mahakimu nchi nzima na watendaji wengine wa mahakama, utagundua walio wengi ni watu wa aina mmoja yaani hakuna uwiano hata kidogo, hii sio sawa kabisa ktk kujenga umoja wa Taifa letu.
Tanznaia lazima ijengwe na watanzania wote.
Angalu Rais anajitahidi kuweka uwiano.
CJ ni Muislam
JK ni Muislam
Msajili Wa Mahakama Tz ni Muislam
 
Yaani kiufupi atapelekwa mwingine... Itabidi apewe muda kuipitia upya..
Shida ni je.. Akiwa anaipitia.. Atakuwa huru? Hii ni Africa ndugu yangu
Tafuta Judgement Hii Mkuu for reference
Screenshot_20211008-205025.jpg
 
Wawe wanaweka na sababu za kutenguliwa pia ingependeza ili wengne wajifunze

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kuna haja ya kupata mamlaka ya uteuzi inayowajibika kwa wananchi!
Hii tuliyonayo inatengua teua bila hata kuweke sababu za msingi! Kibaya zaidi haiweki wazi hatua za kinidhamu zinazopaswa kuchukuliwa dhidi ya watenguliwa!
 
Philemon Sengati ana kiburi kimepitiliza, aliwagomea hadi mawaziri wa kilimo kwenye kutoza mazao km dengu, alikuwa anakaidi amri za mabosi zake.

Atarudi Udom hakuna namna kiburi simaungwana
 
CJ ni Muislam
JK ni Muislam
Msajili Wa Mahakama Tz ni Muislam
weka orodha yote ya Majaji wa Mahakama ya Rufaaa,
Mahakama kuu,
Wasajili wa mahakama kuu,
Mahakimu n.k.
usiongee bila kufanya utafiti.
nchi hii ni ya watanzania wote na itajengwa na watanzania wote.
uwiano ktk zama hizi ni jambo muhimu sana kwa lengo la kuimarisha uzalendo na Umoja wa nchi yetu.
 
Back
Top Bottom