TEUZI: Rais Samia amteua Jaji Mustapha Siyani kuwa Jaji Kiongozi, Sophia Mjema kuwa RC Shinyanga

Sophia mjema kala dodo, baada ya yule wa kisarawe hadi sasa temeke kuwa na shingo ngumu ya kuolewa, hiyo ndio ilikuwa nafasi yake.....tulimsutua humu toka mwaka jana......watu wakapiga domo humu balaaa
 
Naona BAKWATA inang’ara kama sufi.... hongereni kutesa kwa zamu!
Haa......Haa.....
Iweeee Bhojoo....

Mupe .........Muruke......
Huyu Mupe......Maji.....Huyu Muruke......
Huyu Mupe.....Fyanta....Huyu....Muruke...
Huyu....Munawishe Ale....
 
Philemon Sengati ana kiburi kimepitiliza, aliwagomea hadi mawaziri wa kilimo kwenye kutoza mazao km dengu, alikuwa anakaidi amri za mabosi zake.
Ohooo asante kwa kunikumbusha
 
Sophia mjema kala dodo, baada ya yule wa kisarawe hadi sasa temeke kuwa na shingo ngumu ya kuolewa, hiyo ndio ilikuwa nafasi yake.....tulimsutua humu toka mwaka jana......watu wakapiga domo humu balaaa
Kama kigezo cha teuzi ni kuoa/olewa why alipewa ukuu wa wilaya?
 
Sophia mjema kala dodo, baada ya yule wa kisarawe hadi sasa temeke kuwa na shingo ngumu ya kuolewa, hiyo ndio ilikuwa nafasi yake.....tulimsutua humu toka mwaka jana......watu wakapiga domo humu balaaa
Kwahiyo ulitaka ajiowe mwenyewe? Unadhani kuolewa inatokea tu over one night?
 
Amepanda. Kutoka Jaji Mkuu wa Mahakama Kuu, hadi Jaji wa Mahakama ya Rufaa, (Justice of Appeal).

Mahakama ya Rufaa ndiyo Mahakama ya mwisho kimaamuzi ndani ya Muungano. Ipo juu ya Mahakama zote ikiwemo za Zanzibar.

Hata Marehemu A.S. Ramadhan aliwahi kuwa CJ Zanzibar na CJ Tanzania.

NB: Kuwa CJ Tanzania, ni lazima muhusika awe Jaji wa Mahakama ya Rufaa, (Justice of Appeal)
Kwa hiyo wakubwa wanataka wamfunge kimagumashi ili baadae akaachiwe na mahakama ya rufaa kama njia ya kusave face au vipi?
 
Kama hawatamuchia huyu Jaji aliyesikiliza kesi hii kuendelea nayo basi Jaji atakayepangiwa atadai hajui lolote kuhusu ushahidi wa kesi hii. Hivyo kesi kuanza upya kabisa na Mbowe na wenzie kuendelea kusota lupango kwa miezi mingine chungu nzima.

Nahisi kuna kitu hapa hasa ukiangalia ile kesi ilivyokaa kisiasa.
 
Kwa hiyo wakubwa wanataka wamfunge kimagumashi ili baadae akaachiwe na mahakama ya rufaa kama njia ya kusave face au vipi?
Ninahisi umechanganya. Nimemzungumzia Jaji wa Mahakama ya Rufaa, Makungu, siyo Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu, Siami
 
Kama hawatamuchia huyu Jaji aliyesikiliza kesi hii kuendelea nayo basi Jaji atakayepangiwa atadai hajui lolote kuhusu ushahidi wa kesi hii. Hivyo kesi kuanza upya kabisa na Mbowe na wenzie kuendelea kusota lupango kwa miezi mingine chungu nzima.
Sheria ipo clear kwamba Jaji/Hakimu ataendelea pale alipoachia mwenzake. Mahakama ni taasisi.
 
Jicho la tatu...
Kesi ya Mbowe imeleta shida sehemu...
Itabidi atafutwe Jaji mwingine ili alete Suluhu..
Hapo ndipo umuhimu wa Katiba Mpya unapoonekana
Atapelekwa Jaji Kulita, ambae Yeye na Siyami pia Ni Maafisa Vipenyo
 
Sheria ipo clear kwamba Jaji/Hakimu ataendelea pale alipoachia mwenzake. Mahakama ni taasisi.
Mkuu Sio Kwamba Jaji akishika kesi hata kama amestaafu kisheria huwa anaendelea nayo hadi mwisho labda tu aamue kujitoa. Lkn hata hivyo hapa yeye kawa JK hivyo bado yupo ktk mahakama hiyo hiyo na hajaenda Mahakama ya Rufani?
 
Nimejibu swali lililouliza iwapo Jaji Sian akiondolewa, Jaji atakayeendelea atasema hajui kilichoendelea
 
Back
Top Bottom