MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 8,974
- 12,662
Mataga bwana mtapata shida sana!!yaani akili zenu mlifikia hatua eti dpp akishateuliwa hawezi kufukuzwa, hadi kustafu au aache kazi, au kutokana na sababu za kiafya!!aSasa ameondolewa andamaneni!!!MUNGU FUNDI, R.I.HEti mwanga subiri teuzi ndio uje kubwabwaja hapa jukwaani
Bi Mkubwa ndiyo kazi pekee anaweza labda na kusafirisafiri -- ila kwenda kukagua miradi ya maendeleo anaona karaha. ^Ilikuwa Dkt Mwinyi ndiye awe Makamo wangu^ JPM
Na mashine za kukoboa mpungaRais anaenda kuzindua kiwanda cha pipi kijiti!!!ahaaa jamani!!
Magufuli aliwahadaa watanzania kuwa yeye ndo amejenga barabara zote za kuunganisha mikoa, mpaka JK alivyomuumbua kwenye mazishi yake kwa kutaka kupora legacy yake. Mtu muovu sana. Uwongo mwingi na Kupenda tu sifa za hovyo hovyoBi Mkubwa ndiyo kazi pekee anaweza labda na kusafirisafiri -- ila kwenda kukagua miradi ya maendeleo anaona karaha. ^Ilikuwa Dkt Mwinyi ndiye awe Makamo wangu^ JPM
Imagine, halafu atokee awe jaji kwenye kesi ya Lugemalila au Mwanachedema yeyote....!!!Mganga Biswalo hapana, hatateda haki. Hili Mama umechemsha sana. Ameumiza watu sana huy, nawe unalijua hilo, bado unampeleka Mahakamani atoe hukumu
Ndiyo Tanzania hiyo. Utamaduni pekee waliourithi toka kwa Nyerere na wakafanikiwa kuendeleza vizuri.... Mengine yote wameyatupa.... mtu anaboronga badala ya demotion anapata promotion sio sawa Mkuu!
Yeye mwenyewe atajipima na kesi yake ya kwanza atapelekewa faili la Seth na mzee Rugemalila!Kwan akiongea lema ndio imeongea chadema
Ila huyo former DPP amepoteza furaha ya maisha kwa kusimamia uporaji ule
MZEE HUYU KIMBELE FRONT SANA, hapa issue ni Moral integrity hana.Mzee Mgaya anasema ili uwe Mkurugenzi wa Mashtaka ni lazima uwe na sifa za kuweza kuwa Jaji wa mahakama kuu. Kwa maneno mengine DPP ni sawa na Jaji na ndio maana amepewa uwezo wa kuamua kesi ipi iende mahakamani na ipi isiende.
Kimsingi hayati Magufuli ndio alimpa ujaji Biswalo kwa kumteua kuwa DPP na hatukusikia mtu yoyote akilalamika na alichofanya Rais Samia ni kumbadilishia nafasi tu, anasema Mgaya
Chadema wajaribu kutenganisha mambo ya taaluma na siasa kwa sababu mambo mengine yako juu yao, amemalizia.
Kazi Iendelee!
Hahahaaaa....... DPP kumtoa siyo sawa na kumnyang'anya ubunge Tundu Lisu!MZEE HUYU KIMBELE FRONT SANA, hapa issue ni Moral integrity hana.
Hakika bwashee!Ndio ukweli huo. TUNAPENDA SANA KUINGIZA SIASA KTK KILA KITU.
BoT!Kwani Mzee Mgaya enzi za ujana wake alikuwa anafanya kazi wapi?
Mzee Mgaya anasema ili uwe Mkurugenzi wa Mashtaka ni lazima uwe na sifa za kuweza kuwa Jaji wa mahakama kuu. Kwa maneno mengine DPP ni sawa na Jaji na ndio maana amepewa uwezo wa kuamua kesi ipi iende mahakamani na ipi isiende.
Kimsingi hayati Magufuli ndio alimpa ujaji Biswalo kwa kumteua kuwa DPP na hatukusikia mtu yoyote akilalamika na alichofanya Rais Samia ni kumbadilishia nafasi tu, anasema Mgaya
Chadema wajaribu kutenganisha mambo ya taaluma na siasa kwa sababu mambo mengine yako juu yao, amemalizia.
Kazi Iendelee!