Mzee Mgaya anasema ili uwe Mkurugenzi wa Mashtaka ni lazima uwe na sifa za kuweza kuwa Jaji wa mahakama kuu. Kwa maneno mengine DPP ni sawa na Jaji na ndio maana amepewa uwezo wa kuamua kesi ipi iende mahakamani na ipi isiende.
Kimsingi hayati Magufuli ndio alimpa ujaji Biswalo kwa kumteua kuwa DPP na hatukusikia mtu yoyote akilalamika na alichofanya Rais Samia ni kumbadilishia nafasi tu, anasema Mgaya
Chadema wajaribu kutenganisha mambo ya taaluma na siasa kwa sababu mambo mengine yako juu yao, amemalizia.
Kazi Iendelee!