Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sir God haambiwi yy huona direct.....Siyo ushuzi, Jiwe atasema akina Ben aliwaweka wapi
Eti mwanga subiri teuzi ndio uje kubwabwaja hapa jukwaaniMimi huko sipo kabisa!!ila ninachoshukuru nauona mwanga mpya kwenye ofisi ya mwendesha mashitaka, kama tunavyouona huko TCRA, yaani li jitu linajifanya kama MUNGU!!ngoja uone sasa watu wenye makosa ya kubambakiwa wanavyoanza kutoka mahabusu!!kwani majukumu yote ya mahakama alikuwa amejipa yeye?!!kule atapata stahiki ambazo majaji wanazipata kisheria sio huku ambako alikuwa anajiamlia tu , nimbambikie nani kesi!!gang lote la meko lazima litoke kwenye nafasi walizokuwa nazo, hadi sasa top 4 wote wameshafyekwa!!kwani walisumbua sana jamii huko walikofichwa hawana madhara tena kwetu
Tusubiri uteuzi wa DCs na RCs tushuhudie jambazi La kule hai Bwana sabaya liteuliwe kwenda kuendeleza ujambazi wake, hatutaliacha salama
Muulize mama yakoAmeula nini hapo!?
Hilo nenda kawaambie Judicial Service Commission kwa kuwa ndiyo wanao chakata na kupendekeza kwa Rais SSH.nimekuwepo Mahakamani muda mrefu, amini usiamini, mahakimu hao wakianza kuwa majaji wanafundishwa na makarani procedure. nilishawahi shuhudia kabisa hapahapa dsm. hajui chochote kwasababu maisha yake yote amezoea kesi za kuku huku chini, wakati mawakili wa kujitegemea na mawakili wa serikali akifikisha miaka 5 tu anaanza mahakama za rufaa kwahiyo anakuwa na uzoefu mkubwa sana wa high court, na baadaye court of appeal, wakati hakimu muda huo anatumia karibia mwaka kujifunza procedure za huko.
Huyu Mungu kuna vitu mnamsingizia tu kututoa kwenye reli. Ben Saanane kauliwa Ikulu kwa kupigwa risasi ya bastola ya Magufuli mwenyewe!!Sir God haambiwi yy huona direct.....
kama alihusika ama laa anajua yye
vile vile bahati nzuri yy husamehe wote wanaofanya toba
Kitu hujui uliza. Ni kwa vile alimoalia kooni sethi ambaye alitolewa kafara na JK! Subiri uone movie nzima sasaHuyu alipaswa kufukuzwa na kushitakiwa
HAHAHAHAHA...................... Wafiwa = waliofiwaSafari mbili tu za mama zinakuwa nongwa?! Kusingekuwa na Corona duniani, mama angewakomesha, nyie wafiwa!
DPP ni mtu mkubwa hivyo kimajukumu ...?
Little wonder then, why the framers of the law strengthened the position of the DPP by providing that she can only be removed in the same manner that a judge is removed from office – Sections 182(3) and 144 of the Zambia Constitution Amendment Act 2016. This autonomy of authority granted to the DPP is further founded on section 6 of the Prosecutions Authority Act (Law number 34 of 2010). In view of these powers, and functions vested in the office of the Director of Public Prosecutions, it is clear that the DPP enjoys an elevated public service position under the extant Zambian laws ....source : Zambia : The office of the Director of Public Prosecutions secure in playing politics rather than doing justice
Article courtesy of Mr. Muna Ndulo professor of Law Cornell Law school .
kina mama waendelea kusakata buzukiRais Samia amefanya teuzi za Majaji wa Mahakama wa Rufani, Mahakama Kuu na Kumwongezea muda Jaji Mahakama ya Rufani.
Little wonder then, why the framers of the law strengthened the position of the DPP by providing that she can only be removed in the same manner that a judge is removed from office – Sections 182(3) and 144 of the Zambia Constitution Amendment Act 2016. This autonomy of authority granted to the DPP is further founded on section 6 of the Prosecutions Authority Act (Law number 34 of 2010). In view of these powers, and functions vested in the office of the Director of Public Prosecutions, it is clear that the DPP enjoys an elevated public service position under the extant Zambian laws. It is therefore imperative, that particular attention is paid to this special public office as it is a crucial gatekeeper to the temple of justice.Acheni ujinga Biswalo kaula ,nafasi ya DPP huteuliwa na Rais ,hivyo akizingua anafukuzwa tu kazi ,na si kupandishwa cheo ,hii mnayofanya ni propaganda mfu,
Biswalo kaitendea haki ofisi ya DPP kwa kuwatemesha pesa za umma vibaka wote akiwemo na baba yako mzazi
www.lusakatimes.com
Mchakato wa kuwaondoa ofisini kabla ya muda wao DPP, CAG, JUDGES , Makamishna wa Tume unafanana na ni huu hapa chini: reference : Election Access
Mbona Biswalo alishindwa kuwafunga?Rugemalira na Set
Karibu mitaani, maana nyinyi mlichota mahela with connection na Mzee wa Msoga
Unafikiri Lissu na upumbavu wake anaweza kupewa!?Bora DPP Mganga ameondoka mpuuzi sana.
Utoto huo, acheni kuishushia hadhi JFUna maana ileee safari ya kwa M7 na kwa Mr Freedom juzi, nyumba ya Jamaa wa Msoga na Benzi ya Mzee Ruksa vimekomba ^killer-key-2^ pale hazinani. Kumbe ndiyo maana waliharakisha sanaaa kumpandisha cheo Dkt Mpango ili atoke kule wafanye yao!??? Hii ni hatari na robo ^tar-two^¡¡¡ Nahisi kufikia mwisho wa mwaka Bi Mkubwa lazima atatembeza bakuli la michango huku mtaani, kama ndio mwendo huu.
Ngoja nimuulize mama yako mzazi anisaidie niko nae hapa getoMuulize mama yako