Mjukuu wa kigogo
JF-Expert Member
- Sep 19, 2023
- 445
- 1,094
Kwa hili nawaomba mamlaka ya chakula na dawa kwa kushirikiana na serikali kukitupia macho kiwanda cha kuoka mikate kiitwacho Wilson Bakery kilichopo mjini Bunda Kwani kinahatarisha afya za walaji kwa kuwauzia mikate na keki zilizokwisha pita muda wa matumizi.
Kwanza vifungashio vyake vingi havina sticker zenye kuonyesha ukomo wa matumizi(expiring date). Mfano mwingine Jana tuliagiza mtoto kwenda kununua cake, karudi na cake zishakuwa chembechemenza UNGA hata expiring date haionyeshi.
Serikali na mamlaka husika lindeni afya za walaji