Mjukuu wa kigogo
JF-Expert Member
- Sep 19, 2023
- 445
- 1,094
Kwa hili nawaomba mamlaka ya chakula na dawa kwa kushirikiana na serikali kukitupia macho kiwanda cha kuoka mikate kiitwacho Wilson Bakery kilichopo mjini Bunda Kwani kinahatarisha afya za walaji kwa kuwauzia mikate na keki zilizokwisha pita muda wa matumizi.Kwanza vifungashio vyake vingi havina sticker zenye kuonyesha ukomo wa matumizi(expiring date).Mfano mwingine Jana tuliagiza mtoto kwenda kununua cake,karudi na cake zishakuwa chembechemenza UNGA hata expiring date haionyeshi.Serikali na mamlaka husika lindeni afya za walaji
Mkuu, suala la usalama wa chakula kwa walaji serikali ilikwisha litelekeza kitambo. Issue ya food safety ni wewe mlaji kujipambania mwenyewe, wameingiza siasa sana hata hao unaotaka wafuatilie wanajua kila kitu. Yaani kila mtu akiwa na kamtaji kake anakimbilia hiyo sekta, wapo wanaotengeneza unga wa lishe, peanut butter, juisi, maziwa mtindi, n.k, na wengi wao wanatulisha uchafu na vitu vilivyokwisha muda wake.Kwa hili nawaomba mamlaka ya chakula na dawa kwa kushirikiana na serikali kukitupia macho kiwanda cha kuoka mikate kiitwacho Wilson Bakery kilichopo mjini Bunda Kwani kinahatarisha afya za walaji kwa kuwauzia mikate na keki zilizokwisha pita muda wa matumizi.Kwanza vifungashio vyake vingi havina sticker zenye kuonyesha ukomo wa matumizi(expiring date).Mfano mwingine Jana tuliagiza mtoto kwenda kununua cake,karudi na cake zishakuwa chembechemenza UNGA hata expiring date haionyeshi.Serikali na mamlaka husika lindeni afya za walaji
Ungeweka picha iwe msaada kwa wahusika na walajiKwa hili nawaomba mamlaka ya chakula na dawa kwa kushirikiana na serikali kukitupia macho kiwanda cha kuoka mikate kiitwacho Wilson Bakery kilichopo mjini Bunda Kwani kinahatarisha afya za walaji kwa kuwauzia mikate na keki zilizokwisha pita muda wa matumizi.Kwanza vifungashio vyake vingi havina sticker zenye kuonyesha ukomo wa matumizi(expiring date).Mfano mwingine Jana tuliagiza mtoto kwenda kununua cake,karudi na cake zishakuwa chembechemenza UNGA hata expiring date haionyeshi.Serikali na mamlaka husika lindeni afya za walaji
Kuna watu wanafakamia vyakula safarini kumbe vimeuzwa zaidi ya wiku haviishi mwisho vimezimuliwa kwenye fresh foodMkuu, suala la usalama wa chakula kwa walaji serikali ilikwisha litelekeza kitambo. Issue ya food safety ni wewe mlaji kujipambania mwenyewe, wameingiza siasa sana hata hao unaotaka wafuatilie wanajua kila kitu. Yaani kila mtu akiwa na kamtaji kake anakimbilia hiyo sekta, wapo wanaotengeneza unga wa lishe, peanut butter, juisi, maziwa mtindi, n.k
Sio suala la TFDA maana TFDA haipo ipo TMDA Ila kitengo Cha TFDA kimehamishiwa TBS kwa hio hapo waambie TBS sio TFDAKwa hili nawaomba mamlaka ya chakula na dawa kwa kushirikiana na serikali kukitupia macho kiwanda cha kuoka mikate kiitwacho Wilson Bakery kilichopo mjini Bunda Kwani kinahatarisha afya za walaji kwa kuwauzia mikate na keki zilizokwisha pita muda wa matumizi.Kwanza vifungashio vyake vingi havina sticker zenye kuonyesha ukomo wa matumizi(expiring date).Mfano mwingine Jana tuliagiza mtoto kwenda kununua cake,karudi na cake zishakuwa chembechemenza UNGA hata expiring date haionyeshi.Serikali na mamlaka husika lindeni afya za walaji
Hua wanakwangua ile muhuri hauwezi kuona wakiona imeexpire wanakwangua muhuri wa expired basi ukiangalia huoniNaomba uweke hapa picha ya iyo bidhaa uliyo uziwa Jana ikiwa inaonyesha ime expire
Zungumza na Bwana/Bibi Afya wa eneo lako.Kwa hili nawaomba mamlaka ya chakula na dawa kwa kushirikiana na serikali kukitupia macho kiwanda cha kuoka mikate kiitwacho Wilson Bakery kilichopo mjini Bunda Kwani kinahatarisha afya za walaji kwa kuwauzia mikate na keki zilizokwisha pita muda wa matumizi.Kwanza vifungashio vyake vingi havina sticker zenye kuonyesha ukomo wa matumizi(expiring date).Mfano mwingine Jana tuliagiza mtoto kwenda kununua cake,karudi na cake zishakuwa chembechemenza UNGA hata expiring date haionyeshi.Serikali na mamlaka husika lindeni afya za walaji
Changamoto sana.Hua wanakwangua ile muhuri hauwezi kuona wakiona imeexpire wanakwangua muhuri wa expired basi ukiangalia huoni
Niko hapa naomba malalamiko yako uyalete ofisi hapa kwenye bakery sio kwenye mtandao ama kuna director wa iko kiwanda ukitaka namba zake nikupe uwasiliane nae Mimi ni ndugu yake
Kabisa mkuuChangamoto sana.
Ndugu nimenunua keki jioni baada ya masaa mawili zishakuwa chembechembe za UNGA.Acheni kutetea ujinga huku mnatuumizaMkuu Capone Noriegga pita hapa
Daslam wako n mikate ina mchanga na inauzwa wziwazi.Kwa hili nawaomba mamlaka ya chakula na dawa kwa kushirikiana na serikali kukitupia macho kiwanda cha kuoka mikate kiitwacho Wilson Bakery kilichopo mjini Bunda Kwani kinahatarisha afya za walaji kwa kuwauzia mikate na keki zilizokwisha pita muda wa matumizi.
Kwanza vifungashio vyake vingi havina sticker zenye kuonyesha ukomo wa matumizi(expiring date). Mfano mwingine Jana tuliagiza mtoto kwenda kununua cake, karudi na cake zishakuwa chembechemenza UNGA hata expiring date haionyeshi.
Serikali na mamlaka husika lindeni afya za walaji