TFF asante kwa kifaa cha kupima hewa vyumbani, shida yetu siobali msomaji wa kifaa.

TFF asante kwa kifaa cha kupima hewa vyumbani, shida yetu siobali msomaji wa kifaa.

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
18,154
Reaction score
17,491
Ahsante TFF kuingiza kwenye ligi kifaa cha kupima viwango vya hewa vyumbani (gases detector) wanakobadilishia jezi wachezaji.

Kifaa kinaweza kupima hewa vizuri lakini aliyekwenda kukisoma na kutoa majibu akapindisha kwa maslahi yake.

Maswali ni:
1. Nani atahusika na upimaji?
2. Gases/harufu ngapi zinaweza kupimwa na kifaa?
3. Ni gases zipi zitaweza kupimwa, hata ushuzi?
4. Majibu atapewa nani na nani?
5. Malalamiko yakitokeza yatatatuliwa vipi ili yasivuruge mechi?
 
Back
Top Bottom