TFF endeleeni kuweka sheria ngumu na adhabu kali kwa mashabiki wanaoleta vurugu viwanjani

Utetezi wa kuhalalisha ujinga. Hamuwezi kustaarabika acheni kwenda uwanjani. Kama mmoja alitukaniwa mama yake huyo mama alizaa mashabiki wote?
Kwanini apigwe yeye tu wakati kulikua na bunch of yanga fans?

Mimi mpaka saizi nimefatilia interviews walizofanya waandishi watangazaji kwa mashabiki baada ya mpira nimeona mashabiki wa yanga wakitoa maoni ya mchezo wakiwa wamezungukwa na mashabiki wa Simba wote wakiwa wanafuraha na kumuunga mkono maoni yake

Sasa kwanini huyu hawakumpiga?
 
Logical. Waje wajibu sasa.
 
Utetezi wa kuhalalisha ujinga. Hamuwezi kustaarabika acheni kwenda uwanjani. Kama mmoja alitukaniwa mama yake huyo mama alizaa mashabiki wote?
Kama wewe mtu akikutukana kuwa ana mlala mamako utafurahi ni wewe na moyo wako, ila point hapa ni swala la kuheshimu mipaka ya kiushabiki.

Hata mimi ukinitukana hivyo hata kuua naweza endapo utajifanya mkaidi na mbabe nikikutaka uachane na hayo mambo.
 
naomba na tff wailifanyie kazi na hii posti maana inaleta taharuki na sintofahamu kwa wageni

ACBE52C8-BB9B-42F9-A897-6371D98DFD67.jpeg
 
Unahalalisha ujinga kwa mfano wa kijinga? Sisi tusio utambua huo upopoma wenu tuliwakemea na kuwataka TFF watoe adhabu na ilitolewa.
Tuliaa wewe..acha hasira za mimba changa...kilichowapeleka ni nini?wangetuilia na familia zao nyumban...yaan ss ndo wenye shughul afu uje unitukania mama yangu na wala hauusiki?lazma makwenz yahusike
 
Hata mimi ukinitukania mama yangu, tunamalizana hapohapo, nakubonda isasavyo. Wewe umekuja kuangalia mpira fata kilichokupeleka.
Kwa Namna Hiyo Utapigana Na Kila Mtu Kuna Watu Wapuuzi Wanapoku-provoke Inabidi Uachane Nao Na Upumbafu Wao.
 
Kumbe umesikia alafu unatuletea habari chonganishi humu
Mkuu Huwa Sileti Habari Chonganishi Naona Bado Hutaki Kukubali Vurugu Zilizotokea Hadi Jeshi La Police Jana Kumsaidia Kidogo?
 
Kwanini apigwe yeye tu wakati kulikua na bunch of yanga fans?

Mimi mpaka saizi nimefatilia interviews walizofanya waandishi watangazaji kwa mashabiki baada ya mpira nimeona mashabiki wa yanga wakitoa maoni ya mchezo wakiwa wamezungukwa na mashabiki wa Simba wote wakiwa wanafuraha na kumuunga mkono maoni yake

Sasa kwanini huyu hawakumpiga?
Kwahiyo Mkuu Unataka Kuhalalisha Njia Iliyotumika Ya Mashabiki Zaidi Ya Ishirini Kumshambulia Shabiki Mpinzani?
 
Tuliaa wewe..acha hasira za mimba changa...kilichowapeleka ni nini?wangetuilia na familia zao nyumban...yaan ss ndo wenye shughul afu uje unitukania mama yangu na wala hauusiki?lazma makwenz yahusike
Ukitumia Njia Isiyo Sahihi Kusahihisha Mkosefu, Basi Wewe Ndio Utakuwa Mkosaji Na Sheria Inachukua Mkondo Wake.
 
Sisi tunawakilisha nchi wao wanaleta ujinga, ni haki yao kufukuzwa. Ingelikua Simba na Mtibwa sawa, ila linapokuja suala la kuwakilisha nchi walitakiwa waweke uyanga wao pembeni otherwise wasije uwanjani.
Nani anakwambia Kila mtanzania lazima ashabikie Simba kisa inacheza na timu ya nje?, Mpira hauna mipaka ya ushabiki. Taifa stars pekee ndio timu inayotiunganisha wote nje ya hapo hakuna anayelazimishwa kushangilia Simba au yanga, inabaki n maamzi binafs.
 
Basi tutawapiga tu
 
Back
Top Bottom