Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Kwanini apigwe yeye tu wakati kulikua na bunch of yanga fans?Utetezi wa kuhalalisha ujinga. Hamuwezi kustaarabika acheni kwenda uwanjani. Kama mmoja alitukaniwa mama yake huyo mama alizaa mashabiki wote?
Mimi mpaka saizi nimefatilia interviews walizofanya waandishi watangazaji kwa mashabiki baada ya mpira nimeona mashabiki wa yanga wakitoa maoni ya mchezo wakiwa wamezungukwa na mashabiki wa Simba wote wakiwa wanafuraha na kumuunga mkono maoni yake
Sasa kwanini huyu hawakumpiga?