Kwanini apigwe yeye tu wakati kulikua na bunch of yanga fans?Utetezi wa kuhalalisha ujinga. Hamuwezi kustaarabika acheni kwenda uwanjani. Kama mmoja alitukaniwa mama yake huyo mama alizaa mashabiki wote?
Logical. Waje wajibu sasa.Kwanini apigwe yeye tu wakati kulikua na bunch of yanga fans?
Mimi mpaka saizi nimefatilia interviews walizofanya waandishi watangazaji kwa mashabiki baada ya mpira nimeona mashabiki wa yanga wakitoa maoni ya mchezo wakiwa wamezungukwa na mashabiki wa Simba wote wakiwa wanafuraha na kumuunga mkono maoni yake
Sasa kwanini huyu hawakumpiga?
Kama wewe mtu akikutukana kuwa ana mlala mamako utafurahi ni wewe na moyo wako, ila point hapa ni swala la kuheshimu mipaka ya kiushabiki.Utetezi wa kuhalalisha ujinga. Hamuwezi kustaarabika acheni kwenda uwanjani. Kama mmoja alitukaniwa mama yake huyo mama alizaa mashabiki wote?
Mpira Si Uadui Mkuu.Kuna wajinga hasa wa yanga wanajitakia kupigwa
Inakuwaje unavaa jezi lako la yanga unaingia uwanjan wakat wanaocheza n wapinzan wako,
Njoo bila jezi
okNilisikia Juu Juu Kuwa 3-1.
Tuliaa wewe..acha hasira za mimba changa...kilichowapeleka ni nini?wangetuilia na familia zao nyumban...yaan ss ndo wenye shughul afu uje unitukania mama yangu na wala hauusiki?lazma makwenz yahusikeUnahalalisha ujinga kwa mfano wa kijinga? Sisi tusio utambua huo upopoma wenu tuliwakemea na kuwataka TFF watoe adhabu na ilitolewa.
Si wameanza,Acha tumalizie,vita haichagui silahaNa Hiyo Ndio Hatari Sana Tukifika Huko.
Tusifike Huko Mkuu.Tulieni ivyo ivyo ole wenu msogee kwenye mechi za yanga,,,mmefurahi sio sasa mkilipiziwa msije mkalalamika dawa ya moto ni moto
Mkuu Ni Sahihi Mashabiki Kumshambulia Shabiki Kwa Namna Tukio Lilivyotokea Hadi Police Kuingilia Kati?Uungwana upo huu wa kumtukania mtu mamaake?
Kwa Namna Hiyo Utapigana Na Kila Mtu Kuna Watu Wapuuzi Wanapoku-provoke Inabidi Uachane Nao Na Upumbafu Wao.Hata mimi ukinitukania mama yangu, tunamalizana hapohapo, nakubonda isasavyo. Wewe umekuja kuangalia mpira fata kilichokupeleka.
Mkuu Huwa Sileti Habari Chonganishi Naona Bado Hutaki Kukubali Vurugu Zilizotokea Hadi Jeshi La Police Jana Kumsaidia Kidogo?Kumbe umesikia alafu unatuletea habari chonganishi humu
Kwahiyo Mkuu Unataka Kuhalalisha Njia Iliyotumika Ya Mashabiki Zaidi Ya Ishirini Kumshambulia Shabiki Mpinzani?Kwanini apigwe yeye tu wakati kulikua na bunch of yanga fans?
Mimi mpaka saizi nimefatilia interviews walizofanya waandishi watangazaji kwa mashabiki baada ya mpira nimeona mashabiki wa yanga wakitoa maoni ya mchezo wakiwa wamezungukwa na mashabiki wa Simba wote wakiwa wanafuraha na kumuunga mkono maoni yake
Sasa kwanini huyu hawakumpiga?
Ukitumia Njia Isiyo Sahihi Kusahihisha Mkosefu, Basi Wewe Ndio Utakuwa Mkosaji Na Sheria Inachukua Mkondo Wake.Tuliaa wewe..acha hasira za mimba changa...kilichowapeleka ni nini?wangetuilia na familia zao nyumban...yaan ss ndo wenye shughul afu uje unitukania mama yangu na wala hauusiki?lazma makwenz yahusike
Utakuwa mpuuzi na level ya ustaarabu kwako ni km shimo la choo!!.Mechi haiwahusu wamefuata nini uwanjani,wapigwe tu
Hujanielewa mkuu, kuna kipindi inafika uvumilivu unaisha kabisa yani. Mtu unamzuia ila anaendelea.Kwa Namna Hiyo Utapigana Na Kila Mtu Kuna Watu Wapuuzi Wanapoku-provoke Inabidi Uachane Nao Na Upumbafu Wao.
Nani anakwambia Kila mtanzania lazima ashabikie Simba kisa inacheza na timu ya nje?, Mpira hauna mipaka ya ushabiki. Taifa stars pekee ndio timu inayotiunganisha wote nje ya hapo hakuna anayelazimishwa kushangilia Simba au yanga, inabaki n maamzi binafs.Sisi tunawakilisha nchi wao wanaleta ujinga, ni haki yao kufukuzwa. Ingelikua Simba na Mtibwa sawa, ila linapokuja suala la kuwakilisha nchi walitakiwa waweke uyanga wao pembeni otherwise wasije uwanjani.
Basi tutawapiga tuNani anakwambia Kila mtanzania lazima ashabikie Simba kisa inacheza na timu ya nje?, Mpira hauna mipaka ya ushabiki. Taifa stars pekee ndio timu inayotiunganisha wote nje ya hapo hakuna anayelazimishwa kushangilia Simba au yanga, inabaki n maamzi binafs.
Hamna kazi za kufanya au?kaeni nyumbani muangalie via Tv mkija uwanjani tutawatwagà tuHujanielewa mkuu, kuna kipindi inafika uvumilivu unaisha kabisa yani. Mtu unamzuia ila anaendelea.
Then unapata nini baada ya kupiga??, Utaitelekeza familia yako kwa mambo ya kipuuzi ambayo baada ya dk 90 huna linalokunufaisha.Basi tutawapiga tu