TFF endeleeni kuweka sheria ngumu na adhabu kali kwa mashabiki wanaoleta vurugu viwanjani

TFF endeleeni kuweka sheria ngumu na adhabu kali kwa mashabiki wanaoleta vurugu viwanjani

Mkuu Tunaeleza Matukio Yote Yaliyotokea Na Ni Muhimu Zaidi Kuliko Hata Ile Mechi Iliyochezwa Kama Hakuna Uungwana.

Wewe huwezekani [COLOR=red[Yaani Umehamia angle Nyingine....[/COLOR] Ila pole Sana.

Haya pia ni Matokeo Ya Soka!
 
Wapigwe tuu...nini kimewapelekaa....nakumbuka kipnd flan shabik wa simba alichaniwa jezi na washabk wa yanga..ss navyowaskia wachambuz wanalaan utafikir wana simba hawafanyiw ivo
Uungwana Uungwana Ndio Uti Wa Mgongo Wa Mpira Wa Miguu.

Kosa Halihalalishwi Kwa Kosa.
 
Siungi mkono vurugu hasa za kupigana kwa mashabiki wa soka hususan wa Simba na Yanga.

Lakini nimeona maranyingi mechi za Simba za kimataifa mashabiki wa Yanga wanakuepo na hawapigwi,labda ilo tukio la leo kuna shabiki wa Yanga aliwachokoza mashabiki wa Simba utani wa kuvuka mipaka kama matusi au vinginevyo.
Mkilipiziwa msilalamike dawa ya moto ni moto
 
Sisi tunawakilisha nchi wao wanaleta ujinga, ni haki yao kufukuzwa. Ingelikua Simba na Mtibwa sawa, ila linapokuja suala la kuwakilisha nchi walitakiwa waweke uyanga wao pembeni otherwise wasije uwanjani.
Tulieni ivyo ivyo ole wenu msogee kwenye mechi za yanga,,,mmefurahi sio sasa mkilipiziwa msije mkalalamika dawa ya moto ni moto
 
Kuna wajinga hasa wa yanga wanajitakia kupigwa

Inakuwaje unavaa jezi lako la yanga unaingia uwanjan wakat wanaocheza n wapinzan wako,

Njoo bila jezi
 
Kuna Njia Sahihi Za Kushughulika Na Matukio Hayo Maana Kuamka Na Kuanza Kumshushia Kipigo Kizito Kuna Chafua Soka Letu Na Klabu Husika.
Hata mimi ukinitukania mama yangu, tunamalizana hapohapo, nakubonda isasavyo. Wewe umekuja kuangalia mpira fata kilichokupeleka.
 
Waliboa Bwana Umevaa Jezi ya Litimu lako
Mechi si yako Uanze na Kutukana Wenzie
Weshabikia ulicho kifuata sio kuwa tukana Wenzie
 
Mimi nilikuwepo eneo la tukio, kuna shabiki mmoja wa Yanga alimtukania jamaa mamake, level ya uvumilivu ilikuwa ni ndogo kwa aliyetukaniwa mama ndo ugomvi ulipoanzia.

Ile jamaa wa yanga kutaka kupiganaashabiki wa simba wakaamka kwa hasira na kumshushia kipigo kikali.

Hata humu Jf kuna watu wana utani uliovuka mipaka, laiti kama isimgekuwa anonymity wengi wangekuwa wamechezea vichapo.
Utetezi wa kuhalalisha ujinga. Hamuwezi kustaarabika acheni kwenda uwanjani. Kama mmoja alitukaniwa mama yake huyo mama alizaa mashabiki wote?
 
Wapigwe tuu...nini kimewapelekaa....nakumbuka kipnd flan shabik wa simba alichaniwa jezi na washabk wa yanga..ss navyowaskia wachambuz wanalaan utafikir wana simba hawafanyiw ivo
Unahalalisha ujinga kwa mfano wa kijinga? Sisi tusio utambua huo upopoma wenu tuliwakemea na kuwataka TFF watoe adhabu na ilitolewa.
 
Back
Top Bottom