TFF hawana uwezo wa kufafanua kisheria vipengele alivyokosea Feitoto kimkataba. Watarudia maneno matano tu. Feitoto ni mchezaji wa Yanga kimkataba

TFF hawana uwezo wa kufafanua kisheria vipengele alivyokosea Feitoto kimkataba. Watarudia maneno matano tu. Feitoto ni mchezaji wa Yanga kimkataba

Hilo ninauhakika. Hawana jeuri ya kusema kuwa feitoto alitakiwa afanye Nini kisheria. Nasisitiza hakuna hoja za kisheria zinazombana
Darasa la 4 la zamani lilikuwa na nguvu kuliko baadhi ya Wasomi wa sasa kama wewe.
 
Utabiri umetimia nilijua tu itakuwa hivyo
msiwe mnatabiri vitu vyepesi vyepesi kama hivi ambavyo vipo dhahiri kabisa. Kuna member humu alitabiri Simba kuishinda Vipers 1-0 na Yanga kutoa sare ya 1-1 dhidi ya AS Bamako, hayo sasa ndio mambo ya kujivunia inapotokea outcome sahihi
 
Tuna shirikisho la mpira wa miguu lenye watendaji wa hovyo sana Tanzania, halafu wanasoma hukumu nusu, nusu nyingine wanasema wataimalizia jumatatu, hii ni ajabu kabisa.
 
Swala sio huruma swala Ni kuwekwa wazi vipengere vilivyombana
Wengi wao hawana huo upeo, wanachoangalia wao ni kubebwa na TFF pekee, wajinga wanadumazwa akili na TFF na wanashangilia[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Aende CAS shida Nini?au asubiri kuwa huru may 30,2024.
 
Kesi ndogo sana hii kwa kibatala
 
Back
Top Bottom