TFF hii inaiimarisha Yanga kwa uonevu

TFF hii inaiimarisha Yanga kwa uonevu

Kbsaaaa asiingizee mambo yake mungu kwa kuwa timu inatumia na kuamini ushirikina. Alfu ajabu eti wawapo uwanjanj unawaona wakipinga magoti Tena kumlilia na kumuomba mungu ..mm huwa sielewi kbsaa mambo ya kishirikina wkt huo huo Bado mnaenda kumuomba mungu awafushe


Kwa kifupi Sana kuwa hao wachezaji wache tabia za kilozi
Kusema watu wasitumie ushikina kwenye michezo unamaanisha nini? Kupitia mlango mwingine kwaajili ya kukwepa ushirikina ndio ushirikina?

Huwezi kuutenga mpira wa miguu na jamii yake. Jamii inaamini kwenye ushirikina timu ya mpira ndio isiiamini kuwa ushirikina upo? Uchawi upo kwenye vitabu vya dini, uko kwenye nyumba za ibada, uko maofisini, uko kwenye biashara, uko na kuigizwa kwenye tamthilia, filamu, Sanaa na music. Diamond ameimba chizi karogwa tena, Kuna freemaso, nk. TFF ni nani kuitaka Yanga Yanga isiiamini kwenye uchawi wa Simba au coastal au Singida au ihefu? Kama Simba kawasha moto uwanja wa Afrika kusini na kupewa athabu atashindwa nini kiroga uwanja wa kwaMkapa?
 
Back
Top Bottom