TFF hii inaiimarisha Yanga kwa uonevu

Kusema watu wasitumie ushikina kwenye michezo unamaanisha nini? Kupitia mlango mwingine kwaajili ya kukwepa ushirikina ndio ushirikina?

Huwezi kuutenga mpira wa miguu na jamii yake. Jamii inaamini kwenye ushirikina timu ya mpira ndio isiiamini kuwa ushirikina upo? Uchawi upo kwenye vitabu vya dini, uko kwenye nyumba za ibada, uko maofisini, uko kwenye biashara, uko na kuigizwa kwenye tamthilia, filamu, Sanaa na music. Diamond ameimba chizi karogwa tena, Kuna freemaso, nk. TFF ni nani kuitaka Yanga Yanga isiiamini kwenye uchawi wa Simba au coastal au Singida au ihefu? Kama Simba kawasha moto uwanja wa Afrika kusini na kupewa athabu atashindwa nini kiroga uwanja wa kwaMkapa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…