TFF hili ndilo swali mlitakiwa kujiuliza, na hili swali ndilo kila mtu ukimuuliza hakupi majibu

Swali jengine mabaunsa wametajwa kwenye kanuni ya ngapi ya taratibu ya mchezo?!
 
Huu uhuni ulishapangwa kati ya TFF na Simba hii game iahirishwe, maana Simba angefungwa mara 5 mashabiki wasingewaelewa viongozi wao, amini hivyo yan
 
Kuna hizi kanuni hapa chini, moja wapo [34 (1). 1.3], iliyotumika kughairisha mechi ya Simba na Yanga jana;


Hapa nina swali kwenye hiyo kanuni,
1. TFF ni nani? AU Bodi ya ligi ndo TFF???
2. TFF walifanya kikao chochote kujadili na kukubali sababu zilizotolewa za kughairisha mechi kuwa ni za msingi?


Hapa napo;
1. Kwa kanuni hii, bodi ya ligi siyo TFF, sasa, Bodi ya ligi, ilishirikiana na chombo kingine cha TFF kufikia maamuzi waliyofikia?
 

Attachments

  • 1741508330054.png
    256.3 KB · Views: 1
  • 1741508468736.png
    23.1 KB · Views: 1
Soma taarifa ya bodi kwanini mechi ilihairishwa, aya ya mwisho. Tunauliza maswali yasiyo sahihi sababu hatusomi.
View attachment 3264331
Kwa hiyo nyinyi simba ni wageni wa uwanja wa Mkapa kiasi cha kuona ni bora kususia mechi, badala ya kucheza mechi kwa mujibu wa ratiba, na hao wahusika walio wazuia kuingia uwanjani kuchukuliwa hatua za kisheria!!

Ni siku chache tu mlitoka kucheza na Azam! Shida ilikuwa kweli ni kunyimwa nafasi ya kufanya mazoezi ya mwisho, au kuna sababu nyingine nyuma ya pazia? Mfano ishu ya ushirikina, na pia hofu ya kipigo kutokana na baadhi ya wachezaji muhimu kuwa na majeraha!!

Hivi mliwaza kweli kuhusu hasara na usumbufu mlio usababisha kwa wadau wa michezo kutokana tu na haya maamuzi yenu ya hovyo?
 
Mkuu, sababu ya kuhairishwa mechi inayotajwa na hiyo taarifa ya bodi ni Simba kuzuiwa mazoezi tu?
 
Kweli kaka.. na kama hiyo kanuni inaainisha mgeni akinyimwa nafasi yakufanya mazoezi, adhabu ya mwenyej ni faini, kama hivyo ndivyo si timu zitafanya maksudi tuu kumyima mgeni asifanye mazoez akijua atalipa tuu icho ki faini. Hapa tunaharibu, pongezi kwa viongozi wa Simba huu ujinga lazima ukomeshwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…