Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Soma taarifa ya bodi kwanini mechi ilihairishwa, aya ya mwisho. Tunauliza maswali yasiyo sahihi sababu hatusomi.Hili swali nimelitoa humuhumu Kwa mwana JF nikali highligh tu maana hata Mimi nimejiuliza sana na nimeliuliza sana Kuanzia Jana ila Kila mtu ukimuuliza ana lala mbele.
View attachment 3264198