TFF hili ndilo swali mlitakiwa kujiuliza, na hili swali ndilo kila mtu ukimuuliza hakupi majibu

TFF hili ndilo swali mlitakiwa kujiuliza, na hili swali ndilo kila mtu ukimuuliza hakupi majibu

Hili swali nimelitoa humuhumu Kwa mwana JF nikali highligh tu maana hata Mimi nimejiuliza sana na nimeliuliza sana Kuanzia Jana ila Kila mtu ukimuuliza ana lala mbele.
View attachment 3264198
Soma taarifa ya bodi kwanini mechi ilihairishwa, aya ya mwisho. Tunauliza maswali yasiyo sahihi sababu hatusomi.
Screenshot_20250309-110318_Chrome.jpg
 
Swali jengine mabaunsa wametajwa kwenye kanuni ya ngapi ya taratibu ya mchezo?!
 
Huu uhuni ulishapangwa kati ya TFF na Simba hii game iahirishwe, maana Simba angefungwa mara 5 mashabiki wasingewaelewa viongozi wao, amini hivyo yan
 
Kuna hizi kanuni hapa chini, moja wapo [34 (1). 1.3], iliyotumika kughairisha mechi ya Simba na Yanga jana;

1741508567136.png

Hapa nina swali kwenye hiyo kanuni,
1. TFF ni nani? AU Bodi ya ligi ndo TFF???
2. TFF walifanya kikao chochote kujadili na kukubali sababu zilizotolewa za kughairisha mechi kuwa ni za msingi?

1741508862629.png

Hapa napo;
1. Kwa kanuni hii, bodi ya ligi siyo TFF, sasa, Bodi ya ligi, ilishirikiana na chombo kingine cha TFF kufikia maamuzi waliyofikia?
 

Attachments

  • 1741508330054.png
    1741508330054.png
    256.3 KB · Views: 1
  • 1741508468736.png
    1741508468736.png
    23.1 KB · Views: 1
Soma taarifa ya bodi kwanini mechi ilihairishwa, aya ya mwisho. Tunauliza maswali yasiyo sahihi sababu hatusomi.
View attachment 3264331
Kwa hiyo nyinyi simba ni wageni wa uwanja wa Mkapa kiasi cha kuona ni bora kususia mechi, badala ya kucheza mechi kwa mujibu wa ratiba, na hao wahusika walio wazuia kuingia uwanjani kuchukuliwa hatua za kisheria!!

Ni siku chache tu mlitoka kucheza na Azam! Shida ilikuwa kweli ni kunyimwa nafasi ya kufanya mazoezi ya mwisho, au kuna sababu nyingine nyuma ya pazia? Mfano ishu ya ushirikina, na pia hofu ya kipigo kutokana na baadhi ya wachezaji muhimu kuwa na majeraha!!

Hivi mliwaza kweli kuhusu hasara na usumbufu mlio usababisha kwa wadau wa michezo kutokana tu na haya maamuzi yenu ya hovyo?
 
Kwa hiyo nyinyi simba ni wageni wa uwanja wa Mkapa kiasi cha kuona ni bora kususia mechi, badala ya kucheza na hao wahusika walio wazuia kuingia uwanjani kuchukuliwa hatua za kisheria!!

Ni siku chache tu mlitoka kucheza na Azam! Shida ilikuwa kweli ni kunyimwa nafasi ya kufanya mazoezi ya mwisho, au kuna sababu nyingine nyuma ya pazia? Mfano ishu ya ushirikina, na pia hofu ya kipigo kutokana na baadhi ya wachezaji muhimu kuwa na majeraha!!
Mkuu, sababu ya kuhairishwa mechi inayotajwa na hiyo taarifa ya bodi ni Simba kuzuiwa mazoezi tu?
 
Na huo uhuni ndio ilitakiwa kutumika kufanikisha upuuzi wa utopolo kwa kuchungulia madhaifu ya Kanuni za bodi ya ligi. Kwa Bahati mbaya viongozi wa Simba ni smart zaidi ya wale wa utopolo...Na kuna uwezekano wa kugombea na mechi nyingine za ligi kama hatua za kinidhamu hazitachukuliwa dhidi ya hao wahuni...Upumbavu upumbavu hatutaki! UBAYA UBWELA
Kweli kaka.. na kama hiyo kanuni inaainisha mgeni akinyimwa nafasi yakufanya mazoezi, adhabu ya mwenyej ni faini, kama hivyo ndivyo si timu zitafanya maksudi tuu kumyima mgeni asifanye mazoez akijua atalipa tuu icho ki faini. Hapa tunaharibu, pongezi kwa viongozi wa Simba huu ujinga lazima ukomeshwe.
 
Back
Top Bottom