TFF iangalie suala la hawa wachezaji wa Simba kuonesha hii ishara. Msije sema sisi Yanga wabaya

Zile za kwenu mnachomaga kwenye UTI wa mgongo sio mkononi
 
Aliyewaita mbumbumbu ajengewe mnara wa kumbukumbu mapema iwezekanavyo.
 
Baada ya kujidunga sindano tukisubiri dawa zitusisimue hua tunapitia kipindi cha mitetemo View attachment 3158142
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC.
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC.
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio SC (Visababu)
25. Manguruwe SC.
 
Mateja mnajistukia bure wala hawana maana hiyo.
 
Hii hatari sana kwa hawa viumbe
 

Attachments

  • 1000015612.jpg
    177.8 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…