OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Tangu nimeanza kushabikia mpira sijawahi kuona kesi ya mpira inaperekwa kisutu,
Ingekuwa mambo yanaenda hivyo Feitoto angeenda kisutu.
Kuna TFF na Bodi ya ligi kuu ndio zenye mamlaka kisheria kusimamia kanuni za soka na mambo yote ya mpira, ndio yenye mamlaka ya kuamua haki iwapo kutakuwa na kesi.
TFF ni mahakama, kesi ikishindikana TFF inaenda mahakama ya CAF iitwayo CAS, ikishindikana hapo inaenda FIFA.
Mahakama ya kisutu ina uhalali gani wa kuingilia mambo ya mpira?
Tusipokuwa makini yatatukuta yaliyowakuta Kenya.
Waziri wa michezo wa kenya alimtimua kazi mwenyekiti wa shirikisho la soka la mpira kwa madai ni fisadi kaonekana kwenye ripoti ya CAG, jamaa akasema serikali haina mamlaka ya kumsimamisha kazi, wakakaza shingo wakaweka mtu mwingine, jamaa akaenda CAF na FIFA akashinda kesi serikali ikaamuliwa imrudishe kwenye nafasi yake, wakagoma kwa kuangalia upepo wa kisiasa, kenya ikapigwa BAN.
Yanga sio kampuni yanga ni timu ya mpira uongozi wake haushitakiwi kisutu bali unashitakiwa TFF na TPLB,
TFF ijitokeze hadharani kukemea huu ubatili.
Nawasilisha.