APPROXIMATELY
JF-Expert Member
- Aug 10, 2021
- 2,035
- 2,715
TFF inaendesha mpira kupendelea Simba, leo hii imejihizirisha,kusogeza mechi ya Simba na Mbeya City mbele, kwa sababu za kipumbavu ni kuzalilisha nchi yetu.
Nauliza hapa Simba walipoenda huko Dubai wameenda kuwakilisha nchi? Simba walipo enda huko Dubai TFF imewahusu nini mpaka wakasogeza mechi mbele? Kwani hii ni preason?
TFF WAPO KWA AJILI YA KUPOKEA PESA ZA SIMBA?
Eti tumehairisha mechi kwa kuwa Simba watakuwa na mchovu wa safari, khaaaaaah bonge la ujinga. Leo hii nimegundua mpira wa Tanzania unaendeshwa kwa rushwa na kupendelea Simba, God bless TFF.