TFF inaendesha mpira kwa kupendelea Simba

TFF inaendesha mpira kwa kupendelea Simba

Za kitambo hizo. Unaona hapo kuna nafasi timu ziligongana point so walikuwa wanasubiria wakikutana head to head or other alternative ili kupata namba kamili. Hapo utaona kuna timj mbilimbilli zipo kwenye position moja. Current data ssc ipo top 10 au 11 bora sikumbuki vzr

Wewe jamaa ni mbishi na haujui kitu kuhusu CAF ranking. Ni vyema ukajifunza kwanza maana umekazania currently Simba ni ya 10 kama vile mashindano ya msimu wa 2022/2023 yametamatika. Hiyo ni rank ya msimu wa 2021/2022 ambayo ndio imetumika katika mashindano ya msimu huu wa 2022/2023.

Hizo zilizolingana point ndio inetokea hivyo point zao zimelingana kutokana na performance zao kwa misimu mitano mfululizo. Pamoja na kulingana point kuna vigezo vingine hutumika na ndio maana unaona timu B anakaa juu ya timu ya A pamoja na point zao kuwa sawa. Huoni timu zilizokuwa kwenye position moja kama ni wa 12 wanaofatia wanaenda kwenye 14 badala ya 13 maanake wanaolingana point wamechukua nafasi mbili

Baada ya michuano ya msimu huu ( CAF champions league na confederation cup ) kutamatika ndipo watafanya tena ranking kwa kuchukua performance za timu na mashirikisho yao kwa miaka mitano wakianzia msimu huu wa 2022/2023 itakayotoa Muongozo kuelekea msimu mpya wa CAF inter club 2023/2024
 
Vipi kuhusu timu moja kukataa kuvaa Logo yenye rangi rasmi za mdhamini wa Ligi Kuu na haohao tiefuefu wakabariki badala ya kumheshimu na kumtetea mdhamini aliyeweka hela zake kwenye ligi kwaajili ya kupata promosheni kwenye matangazo yake?, sasa huo si upendeleo maalamu kabisa huu... Alafu mechi haijafutwa hiyo, acha wenge busara zitumike....
Unadhani TFF wangebariki kama mdhamini hajaridhia?
 
TFF inaendesha mpira kupendelea Simba, leo hii imejihizirisha,kusogeza mechi ya Simba na Mbeya City mbele,
Hata Yanga ikialikwa kucheza mechi na timu ya UEFA, TFF haina shida, itaahirisha mechi zake. Tatizo Yanga haipati mialiko 🤣🤣🤣
 
Ukubwa wa timu unapimwa kwa umri wake tangu ilipoanzishwa, fan base yake, na wingi wa mataji!

Leo hii nikikuuliza Man City, Real Madrid, au Barcelona zinashika nafasi ya ngapi Ulaya/duniani! Utakuwa na majibu? Lakini ukifuatilia mwaka wake wa kuanzishwa na mataji iliyochukua; ndipo utapata majibu kama ni timu kubwa, au la.
Achana na huyo Makolokolo/Mbumbumbu/Makelele/Malalamiko/Mikia/Kolowizards/Ngada FC atakupotezea muda, kwanza elimu yenyewe unampa bure ilihali hakuna kabisa cha bure duniani kote.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom