Exy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,146
- 5,520
Nchi imejaa wapuuzi na wajinga ndio maana sio kwa serikali au Tff wanaweza kufanya wanachojisikia, ni aibu kwa mpira wetu Ratiba ya ligi ibadilishwe kwasababu za kipuuzi kiasi hiki!!. Vipi na Mbeya city wakiomba mechi isogezwe mbele?, Kuna vitu vya kijinga havipaswa kufanyika na watu humu wanashupaza mafuzu yao "eti Simba ni kubwa!!" Ukubwa kwenye upuuzi??.. Simba ilipoenda Dubai na kuandaa hizo mechi za kirafiki haikutambua Ratiba ya mechi zake za ligi?, Tff na Simba wapunguze upuuzi na naamini kwakuwa mpira wetu ni Simba na Yanga tutegemee siku za usoni yanga kuja na kitu hiki ili kuona nini kinafuata...!!