TFF inaendesha mpira kwa kupendelea Simba

Muwashukuru sana vilaza wanaowabeba, kama sio hao vilaza, leo Fei angekuwa ameshawagaragaza kwenye tope.
Umebaki kutoa maneno tu... Wewe kama unaona ameonewa na anaweza kushinda mpeleke CAS njia bado n nyeupe.
 
Unapoitaja Yanga, unawataja wananchi wa Tanzania. Angalia hapo kwenye familia yako tu kuna mashabiki wangapi wa Yanga, ukilinganisha na simba, halafu unipe mrejesho!
Mimi tu ndo Yanga wengine wote Simba. Na mimi wanasema sababu ni mzee na ni mwana ccm. Wao vijana na wasomi wanasema hawawezi shabikia Yanga....🤣
 
TFF inaendesha mpira kupendelea Simba, leo hii imejihizirisha,kusogeza mechi ya Simba na Mbeya City mbele, kwa sababu za kipumbavu ni kuzalilisha nchi yetu.

Nauliza hapa Simba walipoenda huko Dubai wameenda kuwakilisha nchi? Simba walipo enda huko Dubai TFF imewahusu nini mpaka wakasogeza mechi mbele? Kwani hii ni preason?

TFF WAPO KWA AJILI YA KUPOKEA PESA ZA SIMBA?
Eti tumehairisha mechi kwa kuwa Simba watakuwa na mchovu wa safari, khaaaaaah bonge la ujinga. Leo hii nimegundua mpira wa Tanzania unaendeshwa kwa rushwa na kupendelea Simba, God bless TFF.
Kipindi timu ya mtwara inatakiwa icheze mechi na yanga mtwara ila ikasema mechi yake watachezea dar ili yanga wasisafiri kwenda mtwara na kuchoka kisha kurudi dar kwa maelekezo ya tff hukuona hili au ulikua hujaanza kuishabikia yanga ya mayele??
 
Utopolo wazee wa mbeleko kulia lia Tff kipindi inawapa kona goli ilikuwa haiipendelei Simba Mnyama
Kona goli analichezesha kiongozi yupi wa TFF uwanjani? Mbona unajiabisha hivyo? Matokea ya uwanjani ni makosa ya waamuzi sio ya TFF
 
Sasa Simba ambayo kwa mujibu wa CAF ndo timu ya 11 bora Africa nzima kati ya timu zaidi ya 1000, kwanini ifananishwe na utopolo ambayo ipo nafasi ya 74 huko, kwa kupewa kipaumbele sawa? Simba ni mtoto pendwa (last born) wa CAF na TFF. Ndo maana unaona kila wiki lazima CAF waionyeshe simba. Utopolo sijawahi waona hata siku moja [emoji23][emoji23]

Correction,ni ya kumi sahizi mkuu
 
Correction,ni ya kumi sahizi mkuu
Sio ya kumi wala sio ya 11 ni ya 14. Caf wanafanya ranking ya club kwa kuchukua performance ya miaka mitano.
IMG_20230114_103009.jpg
 
Simba imeliheshimisha Taifa hili lazime na yenyewe iheshimiwe,asiyetaka ahamie Zanzibar tumechoka malalamiko ya kipumbavu
 
Kipindi timu ya mtwara inatakiwa icheze mechi na yanga mtwara ila ikasema mechi yake watachezea dar ili yanga wasisafiri kwenda mtwara na kuchoka kisha kurudi dar kwa maelekezo ya tff hukuona hili au ulikua hujaanza kuishabikia yanga ya mayele??
Hiki ulichoandika hapa ni upotoshaji. Kumbukumbu zinaonesha kuwa Yanga walifanya makubaliano yao na Ndanda kuja kuchezea mechi yao Dar, ili kunogesha sherehe za ubingwa kwa mashabiki wao.

Na TFF/Bodi ya Ligi ilijulishwa, na kuridhia hayo mabadiliko ya uwanja. Kuna nongwa hapo?
 
Muwashukuru sana vilaza wanaowabeba, kama sio hao vilaza, leo Fei angekuwa ameshawagaragaza kwenye tope.
Sema hao ndugu zako vilaza, safari hii wamekosa madhaifu ya kimkataba kama yale ya kwa Morrison. Ndiyo maana wameshindwa cha kufanya. Safari hii hakuna mserereko.
 
TFF inaendesha mpira kupendelea Simba, leo hii imejihizirisha,kusogeza mechi ya Simba na Mbeya City mbele, kwa sababu za kipumbavu ni kuzalilisha nchi yetu.

Nauliza hapa Simba walipoenda huko Dubai wameenda kuwakilisha nchi? Simba walipo enda huko Dubai TFF imewahusu nini mpaka wakasogeza mechi mbele? Kwani hii ni preason?

TFF WAPO KWA AJILI YA KUPOKEA PESA ZA SIMBA?
Eti tumehairisha mechi kwa kuwa Simba watakuwa na mchovu wa safari, khaaaaaah bonge la ujinga. Leo hii nimegundua mpira wa Tanzania unaendeshwa kwa rushwa na kupendelea Simba, God bless TFF.
Vipi kuhusu timu moja kukataa kuvaa Logo yenye rangi rasmi za mdhamini wa Ligi Kuu na haohao tiefuefu wakabariki badala ya kumheshimu na kumtetea mdhamini aliyeweka hela zake kwenye ligi kwaajili ya kupata promosheni kwenye matangazo yake?, sasa huo si upendeleo maalamu kabisa huu... Alafu mechi haijafutwa hiyo, acha wenge busara zitumike....
 
TFF inaendesha mpira kupendelea Simba, leo hii imejihizirisha,kusogeza mechi ya Simba na Mbeya City mbele, kwa sababu za kipumbavu ni kuzalilisha nchi yetu.

Nauliza hapa Simba walipoenda huko Dubai wameenda kuwakilisha nchi? Simba walipo enda huko Dubai TFF imewahusu nini mpaka wakasogeza mechi mbele? Kwani hii ni preason?

TFF WAPO KWA AJILI YA KUPOKEA PESA ZA SIMBA?
Eti tumehairisha mechi kwa kuwa Simba watakuwa na mchovu wa safari, khaaaaaah bonge la ujinga. Leo hii nimegundua mpira wa Tanzania unaendeshwa kwa rushwa na kupendelea Simba, God bless TFF.
Kila siku tumekua tukilalamikia jambo la upendeleo wa wazi unaofanywa na tff kwa simba
 
Sio ya kumi wala sio ya 11 ni ya 14. Caf wanafanya ranking ya club kwa kuchukua performance ya miaka mitano. View attachment 2480481
Za kitambo hizo. Unaona hapo kuna nafasi timu ziligongana point so walikuwa wanasubiria wakikutana head to head or other alternative ili kupata namba kamili. Hapo utaona kuna timj mbilimbilli zipo kwenye position moja. Current data ssc ipo top 10 au 11 bora sikumbuki vzr
 
Hiki ulichoandika hapa ni upotoshaji. Kumbukumbu zinaonesha kuwa Yanga walifanya makubaliano yao na Ndanda kuja kuchezea mechi yao Dar, ili kunogesha sherehe za ubingwa kwa mashabiki wao.

Na TFF/Bodi ya Ligi ilijulishwa, na kuridhia hayo mabadiliko ya uwanja. Kuna nongwa hapo?
Du sasa na Simba si ndio anafanya icho kukubaliana na mcc tff anabariki kiroho saf
 
Back
Top Bottom