changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
Za kitambo hizo. Unaona hapo kuna nafasi timu ziligongana point so walikuwa wanasubiria wakikutana head to head or other alternative ili kupata namba kamili. Hapo utaona kuna timj mbilimbilli zipo kwenye position moja. Current data ssc ipo top 10 au 11 bora sikumbuki vzr
Wewe jamaa ni mbishi na haujui kitu kuhusu CAF ranking. Ni vyema ukajifunza kwanza maana umekazania currently Simba ni ya 10 kama vile mashindano ya msimu wa 2022/2023 yametamatika. Hiyo ni rank ya msimu wa 2021/2022 ambayo ndio imetumika katika mashindano ya msimu huu wa 2022/2023.
Hizo zilizolingana point ndio inetokea hivyo point zao zimelingana kutokana na performance zao kwa misimu mitano mfululizo. Pamoja na kulingana point kuna vigezo vingine hutumika na ndio maana unaona timu B anakaa juu ya timu ya A pamoja na point zao kuwa sawa. Huoni timu zilizokuwa kwenye position moja kama ni wa 12 wanaofatia wanaenda kwenye 14 badala ya 13 maanake wanaolingana point wamechukua nafasi mbili
Baada ya michuano ya msimu huu ( CAF champions league na confederation cup ) kutamatika ndipo watafanya tena ranking kwa kuchukua performance za timu na mashirikisho yao kwa miaka mitano wakianzia msimu huu wa 2022/2023 itakayotoa Muongozo kuelekea msimu mpya wa CAF inter club 2023/2024