APPROXIMATELY
JF-Expert Member
- Aug 10, 2021
- 2,035
- 2,715
Utopolo wazee wa mbeleko kulia lia Tff kipindi inawapa kona goli ilikuwa haiipendelei Simba MnyamaKikawaida fair play inatakowa iwepo lkn ingelokua timu nyingine wangrkataa. Hiyo fair kwa nn isiwe kwa timu zote? Yanga olikataliwa ilipotoka sudan ikabid icheze kwa fatigue.
All in all hii mechi kolo atapoteza. Mechi zote kuahirishwa hua anapigwa hata sare hua hapati.
Sioni tatizo kuwasogezea Simba Mechi yao mbele kutokana na majukumu ya maandalizi. Tatizo ni pale walipokataa kusogeza mbele Mechi ya Kagera Vs Yanga wakitokea Tunis. Lile lilikuwa kosa na naamini hata wao TFF wanajua walikurupuka Ila hawawezi kusema hadharani Kwa Sasa.TFF inaendesha mpira kupendelea Simba, leo hii imejihizirisha,kusogeza mechi ya Simba na Mbeya City mbele, kwa sababu za kipumbavu ni kuzalilisha nchi yetu.
Nauliza hapa Simba walipoenda huko Dubai wameenda kuwakilisha nchi? Simba walipo enda huko Dubai TFF imewahusu nini mpaka wakasogeza mechi mbele? Kwani hii ni preason?
TFF WAPO KWA AJILI YA KUPOKEA PESA ZA SIMBA?
Eti tumehairisha mechi kwa kuwa Simba watakuwa na mchovu wa safari, khaaaaaah bonge la ujinga. Leo hii nimegundua mpira wa Tanzania unaendeshwa kwa rushwa na kupendelea Simba, God bless TFF.
Tulia weye utopolo!Mkubwa akila kwa kuchukua mboga nyingi hutakiwi kusema kakomba.Sema ameipenda mboga.Hilo Shirikisho linaendeshwa na wahamiaji haramu! Unategemea nini?
TFF inaendesha mpira kupendelea Simba, leo hii imejihizirisha,kusogeza mechi ya Simba na Mbeya City mbele, kwa sababu za kipumbavu ni kuzalilisha nchi yetu.
Nauliza hapa Simba walipoenda huko Dubai wameenda kuwakilisha nchi? Simba walipo enda huko Dubai TFF imewahusu nini mpaka wakasogeza mechi mbele? Kwani hii ni preason?
TFF WAPO KWA AJILI YA KUPOKEA PESA ZA SIMBA?
Eti tumehairisha mechi kwa kuwa Simba watakuwa na mchovu wa safari, khaaaaaah bonge la ujinga. Leo hii nimegundua mpira wa Tanzania unaendeshwa kwa rushwa na kupendelea Simba, God bless TFF.
Uko sahihi kabisa. Siku zote simba atabakia kuwa ni mdogo wake Yanga. Tangu lini kwa binadamu, sikio likavuka kichwa?Pesa inaongea. Halafu simba haitokuwa sawa daraja moja na utopolo miaka buku
Enzi ya leodger Tenga nakumbuka alituhusu muamala wa simba kwenda kwa baadhi ya wachezaji wa uto wacheze hovyo watandikwe 5 mtungi umesahau?Hilo Shirikisho linaendeshwa na vilaza! Unategemea nini? Enzi za Msomi Leodgar Chilla Tenga, upuuzi kama huo usingetokea.
Kwenye ile list ya CAF ukihesabu kuanzia 75 ambayo ipo utopolo kushuka chini yaani 74,73 mpaka uipate 12 lazima utopolo ionakane kubwa hongera sanaUko sahihi kabisa. Siku zote simba atabakia kuwa ni mdogo wake Yanga. Tangu lini kwa binadamu, sikio likavuka kichwa?
Hicho siyo kipimo cha ukubwa kati ya Yanga na mbumbumbu fc! Ukubwa siku zote hupimwa kwa umri na makombe.Kwenye ile list ya CAF ukihesabu kuanzia 75 ambayo ipo utopolo kushuka chini yaani 74,73 mpaka uipate 12 lazima utopolo ionakane kubwa hongera sana
Pambana utoke kwenye 0.5 yakoHicho siyo kipimo cha ukubwa kati ya Yanga na mbumbumbu fc! Ukubwa siju zote hupimwa kwa umri na makombe.
Ukubwa wa timu unapimwa kwa umri wake tangu ilipoanzishwa, fan base yake, na wingi wa mataji!Pambana utoke kwenye 0.5 yako