Okay tuje kwenye fan base leta data za uto ig vs simba igUkubwa wa timu unapimwa kwa umri wake tangu ilipoanzishwa, fan base yake, na wingi wa mataji!
Leo hii nikikuuliza Man City, Real Madrid, au Barcelona zinashika nafasi ya ngapi Ulaya/duniani! Utakuwa na majibu? Lakini ukifuatilia mwaka wake wa kuanzishwa na mataji iliyochukua; ndipo utapata majibu kama ni timu kubwa, au la.
Unaumia ukiwq wapi?Nchi imejaa wapuuzi na wajinga ndio maana sio kwa serikali au Tff wanaweza kufanya wanachojisikia, ni aibu kwa mpira wetu Ratiba ya ligi ibadilishwe kwasababu za kipuuzi kiasi hiki!!. Vipi na Mbeya city wakiomba mechi isogezwe mbele?, Kuna vitu vya kijinga havipaswa kufanyika na watu humu wanashupaza mafuzu yao "eti Simba ni kubwa!!" Ukubwa kwenye upuuzi??.. Simba ilipoenda Dubai na kuandaa hizo mechi za kirafiki haikutambua Ratiba ya mechi zake za ligi?, Tff na Simba wapunguze upuuzi na naamini kwakuwa mpira wetu ni Simba na Yanga tutegemee siku za usoni yanga kuja na kitu hiki ili kuona nini kinafuata...!!
Acha kuwaza kijinga ukubwa wa timu unapimwa na fans base kumbe?, Vipi Al nasri aliyojiunga Cr7 leo ni kubwa kuliko PSG? 😅... Unakalilishwa ujinga kijanaOkay tuje kwenye fan base leta data za uto ig vs simba ig
Facebook uto vs simba
Twitter uto vs simba tuone nani mkubwa?
Klabu yako inaweza kuwa kongwe lakini ukongwe wake unakaribia kumaliza mwendo
Unapoitaja Yanga, unawataja wananchi wa Tanzania. Angalia hapo kwenye familia yako tu kuna mashabiki wangapi wa Yanga, ukilinganisha na simba, halafu unipe mrejesho!Okay tuje kwenye fan base leta data za uto ig vs simba ig
Facebook uto vs simba
Twitter uto vs simba tuone nani mkubwa?
Yanga wananchi
Simba wenyenchi
Azam walanchi
Nimemjibu mwenzako aliendika fan base wekaneni sawaAcha kuwaza kijinga ukubwa wa timu unapimwa na fans base kumbe?, Vipi Al nasri aliyojiunga Cr7 leo ni kubwa kuliko PSG? 😅... Unakalilishwa ujinga kijana
Suala sio kuumia, hapa suala je Kuna sababu zipi za msingi zilizopelekea ratiba kubadilija..... Umekaa kishabiki maandazi!!.Unaumia ukiwq wapi?
Unaposema wananchi ni wale watu hohe hae ambao hata kumiliki simu janja kuja mtandaoni kulike social media pages zenu hawaweziUnapoitaja Yanga, unawataja wananchi wa Tanzania. Angalia hapo kwenye familia yako tu kuna mashabiki wangapi wa Yanga, ukilinganisha na simba, halafu unipe mrejesho!
Basi tuliza kalio pesa inaongeaSuala sio kuumia, hapa suala je Kuna sababu zipi za msingi zilizopelekea ratiba kubadilija..... Umekaa kishabiki maandazi!!.
Unataka nije nilifukunyue??Basi tuliza kalio pesa inaongea
Shida zakoUnataka nije nilifukunyue??
Hiyo timu kubwa ya utopolo inashika nafasi ya ngapi kwenye rank za FIFA/CAF? au Utasema rank ni ujinga kwasababu inashika nafasi ya 78?Ukubwa wa timu unapimwa kwa umri wake tangu ilipoanzishwa, fan base yake, na wingi wa mataji!
Leo hii nikikuuliza Man City, Real Madrid, au Barcelona zinashika nafasi ya ngapi Ulaya/duniani! Utakuwa na majibu? Lakini ukifuatilia mwaka wake wa kuanzishwa na mataji iliyochukua; ndipo utapata majibu kama ni timu kubwa, au la.
Rage ndugu.Rage nduguAcha kuwaza kijinga ukubwa wa timu unapimwa na fans base kumbe?, Vipi Al nasri aliyojiunga Cr7 leo ni kubwa kuliko PSG? [emoji28]... Unakalilishwa ujinga kijana
Muwashukuru sana vilaza wanaowabeba, kama sio hao vilaza, leo Fei angekuwa ameshawagaragaza kwenye tope.Hilo Shirikisho linaendeshwa na vilaza! Unategemea nini? Enzi za Msomi Leodgar Chilla Tenga, upuuzi kama huo usingetokea.
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Komwe limekuzidi