Bi Kizimkazi angekuwa na watenda kazi wenye akili angetoa hela za Golf Cart na si hela ya kununua magoli ya Simba na Yanga.Imefika wakati wa TFF kununu Golf Cart yenye kutumia betri kwa kazi hiyo; bei yake haifiki $3000 tu.
Acha ushamba wewe: Viwanja vingine vya kisasa vinavyotumia golf carts huwa wanaanguka watu wangapi?Ushauri sigo mbaya,ila kwa vigezo vyako umechemka.
Miaka yote toka huo uwanja uanze kutumiwa,wameanguka wachezaji wangapi,kwa kubebwa na watu wenye kimo tofauti! Unahisi wanaochagua wa kubeba majeruhi,akili hiyo hawana?!
ila mara nyingi wanaangalia mpira UEFA n.k, walitakiwa kuangalia kwenye viwanja vya wenzetu kuna nini ili na huku waviweke vile ambavyo wana uwezo navyo. kweli kagolf kama haka ndio hadi kiongozi akumbushwe? kwani hajui wajibu wake, ningekuwa mimi ningeona aibu sana.Huenda hawajui manufaa yake!
Sawa,nimekuelewa. Ungependa kuiona uwanjani. Wahusika, bado wana machela za kutosha! Pole sanaAcaha ushamba wewe: Viwanja vingine vya kisasa vinavyotumia golf carts huwa wanaanguka watu wangapi?
unafikiri kabla ya ujio wa machela nini kilitumika?Sawa,nimekuelewa. Ungependa kuiona uwanjani. Wahusika, bado wana machela za kutosha! Pole sana
Walibebwa kimtindo. Si machela hazikuwepo?! Na leo wanabebea machela. Kwa sababu Golf cart hazipo. So?!unafikiri kabla ya ujio wa machela nini kilitumika?
serikali ndio wenye uwanja huo,na ndio watanunua maana nimesikia ni mpango wa matengenezoUwanja wa Mkapa ni uwanja mzuri sana wenye sifa zote za kimataifa. Kinacghotia aibu ni pale mchezaji anapoumia, basi jamaa wa first Aid humbebva kwa machela, jambo ambalo ni la kizamani sana na huweza kusababisha mchezaji kuangushwa iwapo wabebaji hawatakuwa na kimo kimoja.
Imefika wakati wa TFF kununu Golf Cart yenye kutumia betri kwa kazi hiyo; bei yake haifiki $3000 tu.
View attachment 2942980
Kwani uwanja wa Mkapa ni wa TFF , CCM wapo kwa ajili ya kugawana kila kitu cha nchi hii.