TFF kilichoshindikana kwa Tuisila Kisinda kiliwezekana kwa Perfect Chikwende (double standard)

Wataje kwa majina, usiseme huyu na huyu. Mbona Tuisila anatajwa kwa jina, hao au huyo anayekatwa kwa nini hatajwi? Na umejiuliza ni kwa nini haya madai hayatolewi na uongozi wa Yanga, ila yanatolewa na Manara?
Manara ndio Yanga mwenyewe

Hadi Raisi wa club anasikiliza alichosema Manara ndio utekelezaji unafuata
 
Muda unaoutumia kuwaelewesha hao jamaa ni vema ukautumia kumfundisha ng'ombe kukokotoa hesabu atakuelewa mapema kuliko hao jamaa.
Kwanza ni wagumu wa kuelewa halafu wepesi wa kusahau.

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Huenda walianzisha uzi ili kufahamu kitu, atakayetaka kuelewa aelewe asiyetaka basi.
 
Wabongo mnajifanya wajuaji sana, unadhani Yanga ni wajinga kupeleka majina bila kuainisha wepi ni wa ligi ya wandani na wepi ni ligi ya nje.

Taarifa ya Kisinda ilitumwa kwa barua ya maelezo
 
Yanga ilishamtoa kambole,hivi unajua kisinda ni hao tff wamemuombea ITC na ashapata,kuna sbb ambayo tff jana ndio wameamua kuikomoa Yanga kwenye hili suala na siwezi kuziweka hapa,lakini kabla ya hapo walikua bega kwa bega maana Yanga wako sahihi
TFF walielezwa kabisa kuwa KAMBOLE ana majeruhi ya muda mrefu hivyo jina lake linatoka linaingia la KISINDA
Weka ushahidi huo,msilete porojo za kipumbavu za Haji Manara yule ameshachanganyikiwa na pombe na shisha.
 
Kanuni ilitugwa lini?
 
Muda unaoutumia kuwaelewesha hao jamaa ni vema ukautumia kumfundisha ng'ombe kukokotoa hesabu atakuelewa mapema kuliko hao jamaa.
Kwanza ni wagumu wa kuelewa halafu wepesi wa kusahau.

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Kuwaelemisha majuha wa Utopolo ni sawa na
 
Attachments

  • JamiiForums192108216.jpeg
    46.7 KB · Views: 2
hakuna official statement kutoka yanga, ht ww huwez kuonesha uongozi wa yanga uliposema kuwa ilipeleka jina la 13 bila kutaka kutoa jina moja, km ipo onyesha
Kupitia official statement ya TFF tunathibitisha kuwa Yanga ilipeleka majina 13
 
Sasa kama uongozi wa Yanga haukuwahi kusema kwamba ulipeleka jina la Tuisila, wewe unaishutumu TFF kwa misingi ipi?
Unaongea nini? Kwani jina linapelekwa au linatumwa kwenye mfumo?
 
Malalamiko FC kwani mmeanza leo malalamiko yenuuu. Kila mwaka nyie ni malalamiko tuuu TFF this TFF that..
 
Kipindi kile ilikuwa ni 10 ila 2021
Kipindi kile ilikuwa ni wachezaji 10 baaada ya chikwende kuja dirisha dogo wakawa 11 ikabidi kahata ahamishiwe kimataifa tu sababu 2020 caf walitoa hiyo loophole kutokana na mzigo wa covid akaungana na peter muduhwa na jr lokosa kwa ajili ya michezo ya caf,hiyo loophole ishaondolewa na caf kwa kumuogopa kisinda
 
Tulichelewa kwa kanuni ipi? Huwezi ukafunga durisha la kutoa leseni kabla ya kufunga dirisha la usajili!
 
Weka ushahidi huo,msilete porojo za kipumbavu za Haji Manara yule ameshachanganyikiwa na pombe na shisha.
Wewe mpumbavu unajua ITC inaombwa na chama cha soka nchi husika,kwanini tff waliridhia kumuombea ITC kisinda kutoka berkane then leo wageuke,na ikiwa kambole hajapeleka malalamiko yoyote tff?
 
TFF walielezwa kabisa kuwa KAMBOLE ana majeruhi ya muda mrefu hivyo jina lake linatoka linaingia la KISINDA
Mchezaji kuwa majeruhi sio kigezo cha kutojihusisha na Club, prolly ilipaswa avunjiwe mkataba au auzwe.

Sheria za huruma huzipati sehemu yeyote ile duniani
 
Acha kujadili watu jadili Hoja Mkuu!
Watu ndo waleta hoja. Ukiwakwepa watu na akili zao huwezi kupata jawabu. Ndo maana ukifanya jambo la kustaajabisha unaenda kupimwa akili kwanza, Yanga akili zenu hazifai kujadili hoja bora aje Sunday manara au JK. Kichaa hata ukinyoosha mkono ulete hoja ya maana watu wenye akili wataignore kukupa nafasi.
 
Wewe mpumbavu unajua ITC inaombwa na chama cha soka nchi husika,kwanini tff waliridhia kumuombea ITC kisinda kutoka berkane then leo wageuke,na ikiwa kambole hajapeleka malalamiko yoyote tff?
Wenye akili yanga ni sunday manara na JK tu. Hii point ni ya mr. hamnazo, tupe ushahidi tff wakiridhia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…