Tetesi: TFF kuburuzwa FIFA na Yanga kwa kuahirisha mchezo halali wa ligi bila sababu maalum

Machi 8 ni siku ya kina Mama na Simba SC.
 
Talking point wiki yote hii, kuanzia leo hadi jmosi ijayo kila kijiwe itakuwa ndio story.
 
😂😂😂
 
Siasa chafu katika michezo hii,na mchanganyo wa siasa na michezo kwa wanufaika wa matukio na vituko hivyo.
 
Simba imefanya kitendo cha kijinga sana kwa kuikimbia mechi muhimu kama hii, kwa sababu zao za kipuuzi.
Mimi naona hata Yanga hawawezi kukwepa lawama katika hili. Kwa kuwa walikuwa wanajiamini kwamba watashinda huo mchezo kwanini walifanya kitendo cha kijinga cha kwakatalia Simba waingie wafanye mazoezi?
Tukiacha mambo ya ushabiki pembeni, hizi timu mbili ni pasua kichwa kwa soka la Bongo. Sijui kwanini bado wanaendekeza mambo ya kishirikina katika soka? Hovyo sana. Viongozi wa timu hizi na wale wenye ushawishi kwenye hizi timu ndio chanzo cha huu uchafu wa ushirikina kiendelea kutamalaki ndani timu zao. Wanakera
 
Je, Yanga wana funguo za mageti ya kuingia uwanja wa Mkapa? Je, simba walifuata taratibu zikiwemo za kutoa taarifa?

Katika hali ya kawaida, hujatoa taarifa halafu unaenda uwanjani na kuanza kumpigia meneja wa simu ili aje kukufungulia geti ukafanya mazoezi!! Je, hii nayo iko sawa?
 
Ni lini Yanga walishawahi kushinda kesi hata kwenye serikali ya kitongoji tu achilia mbali huko FIFA
 
Kanuni ndio zinatoa taarifa sio simba
 
Piga kichwani bado anapumua 😂
 
ile kesi ya kagoma yusuph kujisajili timu mbili imeishia wapi??
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Viongozi wa tff wasimamishwe
 
Bado hamjasema na mtasema tu.

Ushirikina ni kitu kibayasana
Hawa wahuni watakua walikua wamepiga uchawi mkali sana ...Sasa uchawi wao umegundulika wakazuia uwanja mana walijua timu ikiingia wanaenda kutengua huo uchawi..yanga siku zote uchawi ndio unawasaidia
 
Bora wapewe hizo point 3 na magoli kuliko kufungwa uwanjani tena mfululizo
 
Wale wanaoidai Yanga watafurahi Sana maana wamejipeleka wenyewe Kwa Pilato😜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…