hydroxo
JF-Expert Member
- Oct 19, 2015
- 3,553
- 7,334
Vilio vya kumtukuza Chama au?Mechi yenu ya mwisho na Mc Algier tuliwasikia vilio vyenu View attachment 3263884
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vilio vya kumtukuza Chama au?Mechi yenu ya mwisho na Mc Algier tuliwasikia vilio vyenu View attachment 3263884
Imebaki dakika moja mechi ianze ebu tupeni updatesVilio vya kumtukuza Chama au?
😂😂😂Huyo jamaa anaitwa Patrick anazidi kuwapoteza.
Hakuna mwanasheria wa namna ile.
Kwanza mkienda tu FIFA mkataja jina la Club yenu FIFA waki search mwenye database zao watakutana na kesi zenu za madai na udhulumishi.
Kufikia hapo mtaonekana ni Club ya wahuni na haifai kusikikizwa madai yake mpaka pale watapomalizana na madeni wanayodaiwa.
Siasa chafu katika michezo hii,na mchanganyo wa siasa na michezo kwa wanufaika wa matukio na vituko hivyo.Habari za ndani zinaeleza, Uongozi wa club ya Young africans imeketi na kuamua kuipeleka TFF katika mahakama za juu za FIFA kufuatia shirikisho hilo kuufuta mchezo namba 148 wa Ligi kuu bila sababu za msingi kinyune na sheria na taratibu za Ligi kuu bara.
Kwa mujibu wa kanuni na taratibu za Ligi, sababu pekee zinazoweza kusababisha mchezo kuahirishwa ni kifo cha mchezaji, hali mbaya ya hewa, au sababu kubwa kulingana na itakavyobainika. Nje ya hapo kanuni zinalazimu mchezo kuchezwa kisha kama kuna dosari au changamoto yoyote hatua huchukuliwa baada ya mchezo husika ikiwemo kutozwa faini au wahusika kufungiwa.
Hii italeta doa kubwa katika Ligi ya Tanzania.
Mimi naona hata Yanga hawawezi kukwepa lawama katika hili. Kwa kuwa walikuwa wanajiamini kwamba watashinda huo mchezo kwanini walifanya kitendo cha kijinga cha kwakatalia Simba waingie wafanye mazoezi?Simba imefanya kitendo cha kijinga sana kwa kuikimbia mechi muhimu kama hii, kwa sababu zao za kipuuzi.
Je, Yanga wana funguo za mageti ya kuingia uwanja wa Mkapa? Je, simba walifuata taratibu zikiwemo za kutoa taarifa?Mimi naona hata Yanga hawawezi kukwepa lawama katika hili. Kwa kuwa walikuwa wanajiamini kwamba watashinda huo mchezo kwanini walifanya kitendo cha kijinga cha kwakatalia Simba waingie wafanye mazoezi?
Tukiacha mambo ya ushabiki pembeni, hizi timu mbili ni pasua kichwa kwa soka la Bongo. Sijui kwanini bado wanaendekeza mambo ya kishirikina katika soka? Hovyo sana. Viongozi wa timu hizi na wale wenye ushawishi kwenye hizi timu ndio chanzo cha huu uchafu wa ushirikina kiendelea kutamalaki ndani timu zao. Wanakera
Kanuni ndio zinatoa taarifa sio simbaJe, Yanga wana funguo za mageti ya kuingia uwanja wa Mkapa? Je, simba walifuata taratibu zikiwemo za kutoa taarifa?
Katika hali ya kawaida, hujatoa taarifa halafu unaenda uwanjani na kuanza kumpigia meneja wa simu ili aje kukufungulia geti ukafanya mazoezi!! Je, hii nayo iko sawa?
Piga kichwani bado anapumua 😂Huyo jamaa anaitwa Patrick anazidi kuwapoteza.
Hakuna mwanasheria wa namna ile.
Kwanza mkienda tu FIFA mkataja jina la Club yenu FIFA waki search mwenye database zao watakutana na kesi zenu za madai na udhulumishi.
Kufikia hapo mtaonekana ni Club ya wahuni na haifai kusikikizwa madai yake mpaka pale watapomalizana na madeni wanayodaiwa.
ile kesi ya kagoma yusuph kujisajili timu mbili imeishia wapi??Habari za ndani zinaeleza, Uongozi wa club ya Young africans imeketi na kuamua kuipeleka TFF katika mahakama za juu za FIFA kufuatia shirikisho hilo kuufuta mchezo namba 148 wa Ligi kuu bila sababu za msingi kinyune na sheria na taratibu za Ligi kuu bara.
Kwa mujibu wa kanuni na taratibu za Ligi, sababu pekee zinazoweza kusababisha mchezo kuahirishwa ni kifo cha mchezaji, hali mbaya ya hewa, au sababu kubwa kulingana na itakavyobainika. Nje ya hapo kanuni zinalazimu mchezo kuchezwa kisha kama kuna dosari au changamoto yoyote hatua huchukuliwa baada ya mchezo husika ikiwemo kutozwa faini au wahusika kufungiwa.
Hii italeta doa kubwa katika Ligi ya Tanzania.
Viongozi wa tff wasimamishweHabari za ndani zinaeleza, Uongozi wa club ya Young africans imeketi na kuamua kuipeleka TFF katika mahakama za juu za FIFA kufuatia shirikisho hilo kuufuta mchezo namba 148 wa Ligi kuu bila sababu za msingi kinyune na sheria na taratibu za Ligi kuu bara.
Kwa mujibu wa kanuni na taratibu za Ligi, sababu pekee zinazoweza kusababisha mchezo kuahirishwa ni kifo cha mchezaji, hali mbaya ya hewa, au sababu kubwa kulingana na itakavyobainika. Nje ya hapo kanuni zinalazimu mchezo kuchezwa kisha kama kuna dosari au changamoto yoyote hatua huchukuliwa baada ya mchezo husika ikiwemo kutozwa faini au wahusika kufungiwa.
Hii italeta doa kubwa katika Ligi ya Tanzania.
Hawa wahuni watakua walikua wamepiga uchawi mkali sana ...Sasa uchawi wao umegundulika wakazuia uwanja mana walijua timu ikiingia wanaenda kutengua huo uchawi..yanga siku zote uchawi ndio unawasaidiaBado hamjasema na mtasema tu.
Ushirikina ni kitu kibayasana
Bora wapewe hizo point 3 na magoli kuliko kufungwa uwanjani tena mfululizoHabari za ndani zinaeleza, Uongozi wa club ya Young africans imeketi na kuamua kuipeleka TFF katika mahakama za juu za FIFA kufuatia shirikisho hilo kuufuta mchezo namba 148 wa Ligi kuu bila sababu za msingi kinyune na sheria na taratibu za Ligi kuu bara.
Kwa mujibu wa kanuni na taratibu za Ligi, sababu pekee zinazoweza kusababisha mchezo kuahirishwa ni kifo cha mchezaji, hali mbaya ya hewa, au sababu kubwa kulingana na itakavyobainika. Nje ya hapo kanuni zinalazimu mchezo kuchezwa kisha kama kuna dosari au changamoto yoyote hatua huchukuliwa baada ya mchezo husika ikiwemo kutozwa faini au wahusika kufungiwa.
Hii italeta doa kubwa katika Ligi ya Tanzania.
Hii ni sawa na mtu kutafutwa na polisi halafu anaenda polisi kushtaki.Wakienda fifa kesi zote za Yanga zitafufuliwa.