Tetesi: TFF kuburuzwa FIFA na Yanga kwa kuahirisha mchezo halali wa ligi bila sababu maalum

Habari za ndani zinaeleza, Uongozi wa club ya Young africans imeketi na kuamua kuipeleka TFF katika mahakama za juu za FIFA kufuatia shirikisho hilo kuufuta mchezo namba 148 wa Ligi kuu bila sababu za msingi kinyune na sheria na taratibu za Ligi kuu bara.

Kwa mujibu wa kanuni na taratibu za Ligi, sababu pekee zinazoweza kusababisha mchezo kuahirishwa ni kifo cha mchezaji, hali mbaya ya hewa, au sababu kubwa kulingana na itakavyobainika.

Soma Pia: Bodi ya Ligi kuu yaahirisha Mechi ya Derby kati ya Yanga dhidi ya Simba

Nje ya hapo kanuni zinalazimu mchezo kuchezwa kisha kama kuna dosari au changamoto yoyote hatua huchukuliwa baada ya mchezo husika ikiwemo kutozwa faini au wahusika kufungiwa.

Hii italeta doa kubwa katika Ligi ya Tanzania.
Yaani watume wahuni wanaojiita mabaunsa kuzuia Simba haki yake ya kufanya mazoezi wakihofia ushirikina halafu washtaki mamlaka?
 
Huyo jamaa anaitwa Patrick anazidi kuwapoteza.

Hakuna mwanasheria wa namna ile.

Kwanza mkienda tu FIFA mkataja jina la Club yenu FIFA waki search mwenye database zao watakutana na kesi zenu za madai na udhulumishi.

Kufikia hapo mtaonekana ni Club ya wahuni na haifai kusikikizwa madai yake mpaka pale watapomalizana na madeni wanayodaiwa.
Hayo ni yako tutajuana huko huko Fifa kesi lazima ifunguliwe, yaani wiki nzima makolo mmeachwa mfanye mazoezi siku moja inabadili nini si mngeenda kufanya mazoezi hata chamazi kuna taa, halafu simba ina ugeni gani kwa mkapa? Simba wote ni mbumbumbu leo wamepigilia msumari, we uliona wapi ng'ombe akanenepa siku ya mnada , simba imekwepa kipigo cha saba bila maana si kwa kupaniwa kule na Yanga, tunachotaka sisi uto ni points tatu zetu tu, hayo sijui ya kuonekana wahuni au tuonekane wastaarabu watajua Fifa , nani atalipa gharama za maandalizi ya Yanga, kisa mganga wenu madunduka kasema msipofukua hirizi uwanjani usiku mtafungwa basi ndo hamkuleta timu, sijui vigezo vya kuwa bodi ya ligi ni vipi hapa serikali ikague hao wajumbe kuona sifa zao, huwezi kufuta mchezo kwa sababu za kipuuzi hasa ushirikina, suala la kurudishwa pesa za tickets pia ni vizuri serikali iingilie ili wahuni wa simba wakomeshwe siku ingine wasirudie kuleta ujinga za namna hii, watu wametoka ulaya na arabuni kuja kucheki mechi ya derby hawa mnawalipaje?
 
Habari za ndani zinaeleza, Uongozi wa club ya Young africans imeketi na kuamua kuipeleka TFF katika mahakama za juu za FIFA kufuatia shirikisho hilo kuufuta mchezo namba 148 wa Ligi kuu bila sababu za msingi kinyune na sheria na taratibu za Ligi kuu bara.

Kwa mujibu wa kanuni na taratibu za Ligi, sababu pekee zinazoweza kusababisha mchezo kuahirishwa ni kifo cha mchezaji, hali mbaya ya hewa, au sababu kubwa kulingana na itakavyobainika.

Soma Pia: Bodi ya Ligi kuu yaahirisha Mechi ya Derby kati ya Yanga dhidi ya Simba

Nje ya hapo kanuni zinalazimu mchezo kuchezwa kisha kama kuna dosari au changamoto yoyote hatua huchukuliwa baada ya mchezo husika ikiwemo kutozwa faini au wahusika kufungiwa.

Hii italeta doa kubwa katika Ligi ya Tanzania.
Huko FIFA utopolo mnapigwa kila na akina Morison, Okra, na wengine wengi leo tena mnataka kukurupuka.

Haya msije kusema sikuwaambia nyie Uto
 
Kanuni zipi zilizofanya yanga ikimbie mechi 2021
 
2021 ilikuwa wazi kwamba makosa yalikuwa ya Bodi ya Ligi kutotoa taarifa ya kubadoli muda wa mchezo ndani ya saa 24, Ila kwa hili hakuna kanuni ya kuzuoa mchezo kisa timu haijafanya mazoezi, kanuni zilizopo sanasana ni adhabu za faini sio kuahirisha mchezo
 
Habari za ndani zinaeleza, Uongozi wa club ya Young africans imeketi na kuamua kuipeleka TFF katika mahakama za juu za FIFA kufuatia shirikisho hilo kuufuta mchezo namba 148 wa Ligi kuu bila sababu za msingi kinyune na sheria na taratibu za Ligi kuu bara.

Kwa mujibu wa kanuni na taratibu za Ligi, sababu pekee zinazoweza kusababisha mchezo kuahirishwa ni kifo cha mchezaji, hali mbaya ya hewa, au sababu kubwa kulingana na itakavyobainika.

Soma Pia: Bodi ya Ligi kuu yaahirisha Mechi ya Derby kati ya Yanga dhidi ya Simba

Nje ya hapo kanuni zinalazimu mchezo kuchezwa kisha kama kuna dosari au changamoto yoyote hatua huchukuliwa baada ya mchezo husika ikiwemo kutozwa faini au wahusika kufungiwa.

Hii italeta doa kubwa katika Ligi ya Tanzania.
Labda waende kushitaki kwa FIFA ya Buza kwa Mpalange
 
2021 ilikuwa wazi kwamba makosa yalikuwa ya Bodi ya Ligi kutotoa taarifa ya kubadoli muda wa mchezo ndani ya saa 24, Ila kwa hili hakuna kanuni ya kuzuoa mchezo kisa timu haijafanya mazoezi, kanuni zilizopo sanasana ni adhabu za faini sio kuahirisha mchezo
Mchezo umeahirishwa! Poleee wee.

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Hayo ni yako tutajuana huko huko Fifa kesi lazima ifunguliwe, yaani wiki nzima makolo mmeachwa mfanye mazoezi siku moja inabadili nini si mngeenda kufanya mazoezi hata chamazi kuna taa, halafu simba ina ugeni gani kwa mkapa? Simba wote ni mbumbumbu leo wamepigilia msumari, we uliona wapi ng'ombe akanenepa siku ya mnada , simba imekwepa kipigo cha saba bila maana si kwa kupaniwa kule na Yanga, tunachotaka sisi uto ni points tatu zetu tu, hayo sijui ya kuonekana wahuni au tuonekane wastaarabu watajua Fifa , nani atalipa gharama za maandalizi ya Yanga, kisa mganga wenu madunduka kasema msipofukua hirizi uwanjani usiku mtafungwa basi ndo hamkuleta timu, sijui vigezo vya kuwa bodi ya ligi ni vipi hapa serikali ikague hao wajumbe kuona sifa zao, huwezi kufuta mchezo kwa sababu za kipuuzi hasa ushirikina, suala la kurudishwa pesa za tickets pia ni vizuri serikali iingilie ili wahuni wa simba wakomeshwe siku ingine wasirudie kuleta ujinga za namna hii, watu wametoka ulaya na arabuni kuja kucheki mechi ya derby hawa mnawalipaje?
Kwa ujinga huu nendeni.

Na haijawahi kuwa mara yenu ya kwanza kuongea ujinga kama huu.
 
Yani Simba yangu sio ya kuwakimbia hawa makolo nimeumia sana...tumeanza lini huu uoga
 
Mkijichanganya tu lazima FIFA uchunguzi uanzie mbali kama kuna ishara za rushwa na upangaji wa matokeo. Na wakifikia hapo mjue YangaSC itakuwa imekula kwao kwani haiwezekani mtu mmoja adhamini timu saba zinazocheza ligi moja.
Undava undava,mmemwaga ugali na mboga tuna mwaga unga,mafuta ma chumvi,na hatuishii hapo tunang'oa mahindi na mboga mboga za shambani.
 
Habari za ndani zinaeleza, Uongozi wa club ya Young africans imeketi na kuamua kuipeleka TFF katika mahakama za juu za FIFA kufuatia shirikisho hilo kuufuta mchezo namba 148 wa Ligi kuu bila sababu za msingi kinyune na sheria na taratibu za Ligi kuu bara.

Kwa mujibu wa kanuni na taratibu za Ligi, sababu pekee zinazoweza kusababisha mchezo kuahirishwa ni kifo cha mchezaji, hali mbaya ya hewa, au sababu kubwa kulingana na itakavyobainika.

Soma Pia: Bodi ya Ligi kuu yaahirisha Mechi ya Derby kati ya Yanga dhidi ya Simba

Nje ya hapo kanuni zinalazimu mchezo kuchezwa kisha kama kuna dosari au changamoto yoyote hatua huchukuliwa baada ya mchezo husika ikiwemo kutozwa faini au wahusika kufungiwa.

Hii italeta doa kubwa katika Ligi ya Tanzania.
Siku mkiwa na akili timamu mtaijua sababu. Shida Utopolo hakuna akili
 
Hao yanga wenyewe wanatafitwa na FIFA. Wana madeni kibao hawalipi wachezaji haki zao. Itapelitu
Umeona wapi kibaka akaenda kumshtaki mhalifu polisi
 
Huko ndio kutamu na madeni waliyoshitakiwa watakuwa wamejipeleka yanga wanajulikana kwa ukorofi wa kutowalipa wachezaji pesa zao!
Kwamba FIFA haifahamu timu ya YANGA inapatikanaje hadi ifike FIFA?
 
Back
Top Bottom