felakuti
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 659
- 1,207
Na wakimalizia Tanzania inafungiwaLianzisheni ili Simba walimalizie, hii timu ya mpira au walinzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wakimalizia Tanzania inafungiwaLianzisheni ili Simba walimalizie, hii timu ya mpira au walinzi
ana stahili kwa kweli.kumbe mlikuwa mnautaka alafu mkaleta maringo.mnyama haringiwiMjengee kwenyu
Kama mlivyofanya upuuzi mei 2021Simba imefanya kitendo cha kijinga sana kwa kuikimbia mechi muhimu kama hii, kwa sababu zao za kipuuzi.
Yaani watume wahuni wanaojiita mabaunsa kuzuia Simba haki yake ya kufanya mazoezi wakihofia ushirikina halafu washtaki mamlaka?Habari za ndani zinaeleza, Uongozi wa club ya Young africans imeketi na kuamua kuipeleka TFF katika mahakama za juu za FIFA kufuatia shirikisho hilo kuufuta mchezo namba 148 wa Ligi kuu bila sababu za msingi kinyune na sheria na taratibu za Ligi kuu bara.
Kwa mujibu wa kanuni na taratibu za Ligi, sababu pekee zinazoweza kusababisha mchezo kuahirishwa ni kifo cha mchezaji, hali mbaya ya hewa, au sababu kubwa kulingana na itakavyobainika.
Soma Pia: Bodi ya Ligi kuu yaahirisha Mechi ya Derby kati ya Yanga dhidi ya Simba
Nje ya hapo kanuni zinalazimu mchezo kuchezwa kisha kama kuna dosari au changamoto yoyote hatua huchukuliwa baada ya mchezo husika ikiwemo kutozwa faini au wahusika kufungiwa.
Hii italeta doa kubwa katika Ligi ya Tanzania.
Hayo ni yako tutajuana huko huko Fifa kesi lazima ifunguliwe, yaani wiki nzima makolo mmeachwa mfanye mazoezi siku moja inabadili nini si mngeenda kufanya mazoezi hata chamazi kuna taa, halafu simba ina ugeni gani kwa mkapa? Simba wote ni mbumbumbu leo wamepigilia msumari, we uliona wapi ng'ombe akanenepa siku ya mnada , simba imekwepa kipigo cha saba bila maana si kwa kupaniwa kule na Yanga, tunachotaka sisi uto ni points tatu zetu tu, hayo sijui ya kuonekana wahuni au tuonekane wastaarabu watajua Fifa , nani atalipa gharama za maandalizi ya Yanga, kisa mganga wenu madunduka kasema msipofukua hirizi uwanjani usiku mtafungwa basi ndo hamkuleta timu, sijui vigezo vya kuwa bodi ya ligi ni vipi hapa serikali ikague hao wajumbe kuona sifa zao, huwezi kufuta mchezo kwa sababu za kipuuzi hasa ushirikina, suala la kurudishwa pesa za tickets pia ni vizuri serikali iingilie ili wahuni wa simba wakomeshwe siku ingine wasirudie kuleta ujinga za namna hii, watu wametoka ulaya na arabuni kuja kucheki mechi ya derby hawa mnawalipaje?Huyo jamaa anaitwa Patrick anazidi kuwapoteza.
Hakuna mwanasheria wa namna ile.
Kwanza mkienda tu FIFA mkataja jina la Club yenu FIFA waki search mwenye database zao watakutana na kesi zenu za madai na udhulumishi.
Kufikia hapo mtaonekana ni Club ya wahuni na haifai kusikikizwa madai yake mpaka pale watapomalizana na madeni wanayodaiwa.
Kesi za TFF na kamati zao za mchongo zilizojaa makolo sijawah ona kukiwa na maamuzi ya ushindi kwa Yanga👐👐🤣MNAENDAGA KWENYE SHERIA HALAFU NINYI NDIO MNASHINDWA KESI.Mna makomando jeshi mlianzisha lini.
Huko FIFA utopolo mnapigwa kila na akina Morison, Okra, na wengine wengi leo tena mnataka kukurupuka.Habari za ndani zinaeleza, Uongozi wa club ya Young africans imeketi na kuamua kuipeleka TFF katika mahakama za juu za FIFA kufuatia shirikisho hilo kuufuta mchezo namba 148 wa Ligi kuu bila sababu za msingi kinyune na sheria na taratibu za Ligi kuu bara.
Kwa mujibu wa kanuni na taratibu za Ligi, sababu pekee zinazoweza kusababisha mchezo kuahirishwa ni kifo cha mchezaji, hali mbaya ya hewa, au sababu kubwa kulingana na itakavyobainika.
Soma Pia: Bodi ya Ligi kuu yaahirisha Mechi ya Derby kati ya Yanga dhidi ya Simba
Nje ya hapo kanuni zinalazimu mchezo kuchezwa kisha kama kuna dosari au changamoto yoyote hatua huchukuliwa baada ya mchezo husika ikiwemo kutozwa faini au wahusika kufungiwa.
Hii italeta doa kubwa katika Ligi ya Tanzania.
2021 ilikuwa wazi kwamba makosa yalikuwa ya Bodi ya Ligi kutotoa taarifa ya kubadoli muda wa mchezo ndani ya saa 24, Ila kwa hili hakuna kanuni ya kuzuoa mchezo kisa timu haijafanya mazoezi, kanuni zilizopo sanasana ni adhabu za faini sio kuahirisha mchezoKanuni zipi zilizofanya yanga ikimbie mechi 2021
Labda waende kushitaki kwa FIFA ya Buza kwa MpalangeHabari za ndani zinaeleza, Uongozi wa club ya Young africans imeketi na kuamua kuipeleka TFF katika mahakama za juu za FIFA kufuatia shirikisho hilo kuufuta mchezo namba 148 wa Ligi kuu bila sababu za msingi kinyune na sheria na taratibu za Ligi kuu bara.
Kwa mujibu wa kanuni na taratibu za Ligi, sababu pekee zinazoweza kusababisha mchezo kuahirishwa ni kifo cha mchezaji, hali mbaya ya hewa, au sababu kubwa kulingana na itakavyobainika.
Soma Pia: Bodi ya Ligi kuu yaahirisha Mechi ya Derby kati ya Yanga dhidi ya Simba
Nje ya hapo kanuni zinalazimu mchezo kuchezwa kisha kama kuna dosari au changamoto yoyote hatua huchukuliwa baada ya mchezo husika ikiwemo kutozwa faini au wahusika kufungiwa.
Hii italeta doa kubwa katika Ligi ya Tanzania.
Kwanza mkienda tu FIFA mkataja jina la Club yenu FIFA waki search mwenye database zao watakutana na kesi zenu za madai na udhulumishi.
Mchezo umeahirishwa! Poleee wee.2021 ilikuwa wazi kwamba makosa yalikuwa ya Bodi ya Ligi kutotoa taarifa ya kubadoli muda wa mchezo ndani ya saa 24, Ila kwa hili hakuna kanuni ya kuzuoa mchezo kisa timu haijafanya mazoezi, kanuni zilizopo sanasana ni adhabu za faini sio kuahirisha mchezo
Kwa ujinga huu nendeni.Hayo ni yako tutajuana huko huko Fifa kesi lazima ifunguliwe, yaani wiki nzima makolo mmeachwa mfanye mazoezi siku moja inabadili nini si mngeenda kufanya mazoezi hata chamazi kuna taa, halafu simba ina ugeni gani kwa mkapa? Simba wote ni mbumbumbu leo wamepigilia msumari, we uliona wapi ng'ombe akanenepa siku ya mnada , simba imekwepa kipigo cha saba bila maana si kwa kupaniwa kule na Yanga, tunachotaka sisi uto ni points tatu zetu tu, hayo sijui ya kuonekana wahuni au tuonekane wastaarabu watajua Fifa , nani atalipa gharama za maandalizi ya Yanga, kisa mganga wenu madunduka kasema msipofukua hirizi uwanjani usiku mtafungwa basi ndo hamkuleta timu, sijui vigezo vya kuwa bodi ya ligi ni vipi hapa serikali ikague hao wajumbe kuona sifa zao, huwezi kufuta mchezo kwa sababu za kipuuzi hasa ushirikina, suala la kurudishwa pesa za tickets pia ni vizuri serikali iingilie ili wahuni wa simba wakomeshwe siku ingine wasirudie kuleta ujinga za namna hii, watu wametoka ulaya na arabuni kuja kucheki mechi ya derby hawa mnawalipaje?
Undava undava,mmemwaga ugali na mboga tuna mwaga unga,mafuta ma chumvi,na hatuishii hapo tunang'oa mahindi na mboga mboga za shambani.Mkijichanganya tu lazima FIFA uchunguzi uanzie mbali kama kuna ishara za rushwa na upangaji wa matokeo. Na wakifikia hapo mjue YangaSC itakuwa imekula kwao kwani haiwezekani mtu mmoja adhamini timu saba zinazocheza ligi moja.
Yani Simba yangu sio ya kuwakimbia hawa makolo nimeumia sana...tumeanza lini huu uoga
Siku mkiwa na akili timamu mtaijua sababu. Shida Utopolo hakuna akiliHabari za ndani zinaeleza, Uongozi wa club ya Young africans imeketi na kuamua kuipeleka TFF katika mahakama za juu za FIFA kufuatia shirikisho hilo kuufuta mchezo namba 148 wa Ligi kuu bila sababu za msingi kinyune na sheria na taratibu za Ligi kuu bara.
Kwa mujibu wa kanuni na taratibu za Ligi, sababu pekee zinazoweza kusababisha mchezo kuahirishwa ni kifo cha mchezaji, hali mbaya ya hewa, au sababu kubwa kulingana na itakavyobainika.
Soma Pia: Bodi ya Ligi kuu yaahirisha Mechi ya Derby kati ya Yanga dhidi ya Simba
Nje ya hapo kanuni zinalazimu mchezo kuchezwa kisha kama kuna dosari au changamoto yoyote hatua huchukuliwa baada ya mchezo husika ikiwemo kutozwa faini au wahusika kufungiwa.
Hii italeta doa kubwa katika Ligi ya Tanzania.
Kwamba FIFA haifahamu timu ya YANGA inapatikanaje hadi ifike FIFA?Huko ndio kutamu na madeni waliyoshitakiwa watakuwa wamejipeleka yanga wanajulikana kwa ukorofi wa kutowalipa wachezaji pesa zao!