MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Karia huyoWatu wa Mpira tunajua kuwa Kipa Aishi Manula na aliyewahi kuwa Kipa wa Taifa Stars Juma Kaseja haziivi kabisa.
Kaseja analalamika Manula Mchawi na Manula nae Kutwa hataki Kumsikia Kaseja kwa madai kuwa ni Mchawi na amekuwa akimuumiza mno walipokuwa pamoja Taifa Stars mwaka Mmoja au miaka Miwili iliyopita.
Halafu Kipa Manula anamdharai ( tena wazi wazi ) Kipa Kaseja na Kaseja nae mara nyingi humuonyeshea Kiburi Kipa Manula Jambo ambalo ni Hatari zaidi kwa Timu ya Taifa.
Ukweli ni kwamba mmekurupuka!!!
KMC wamemtema na sasa ndiyo Wakala Mkuu pamoja na Rafiki yake mkubwa Musa Hassan Mgosi a.k.a Komando kuwapeleka Wachezaji Wazawa na baadhi wa Kigeni kwa Waganga wa Kienyeji Tanga na Kigoma kuroga ili wasikose namba katika Vilabu vyao.Hivi Kaseja amestaafu au bado anacheza?
Unauliza Sensa Tanzania?Hebu ngoja kwanza...
Kwamba Kaseja kapewa dili la kunoa makipa wa Stars?
😂😂
Wawili hao ( hawa ) hawapatani kabisa kutokana na Kutuhumiana Kurogana ( Uchawi ) na sijui sasa itakuwaje huko Kambini.safi sana iyo,waunganishe uchawi wao kisha wamroge kipa wa Uganda kwenye marudiano mpira ukifika golini aone manyota nyota.
Pumbavu 90% ya Wachezaji wa Kitanzania ( Wazawa ) ni Marafiki na Wadogo zangu na wengine wakiwa Wadogo walishanishuhudia nikikipiga hivyo nikisema Jambo la Kimpira niamini 100% sawa?Hakuna ushahidi kwenye hizo porojo zako
Hawa makocha wqtatangaza wachezaji wao, huyo Manula anaweza akaachwaWatu wa Mpira tunajua kuwa Kipa Aishi Manula na aliyewahi kuwa Kipa wa Taifa Stars Juma Kaseja haziivi kabisa.
Kaseja analalamika Manula Mchawi na Manula nae Kutwa hataki Kumsikia Kaseja kwa madai kuwa ni Mchawi na amekuwa akimuumiza mno walipokuwa pamoja Taifa Stars mwaka Mmoja au miaka Miwili iliyopita.
Halafu Kipa Manula anamdharai ( tena wazi wazi ) Kipa Kaseja na Kaseja nae mara nyingi humuonyeshea Kiburi Kipa Manula Jambo ambalo ni Hatari zaidi kwa Timu ya Taifa.
Ukweli ni kwamba mmekurupuka!!!
Chini ya Karia lolote linawezekana.Hawa makocha wqtatangaza wachezaji wao, huyo Manula anaweza akaachwa
Kwani wachezaji 12 wa kigeni wanaathiri nini timu ya taifa?Utitiri wa wachezaji wa kigeni hapa Tz umeanza miaka ya hivi karibuni.Lakini tangu tupate uhuru leo miaka 61 timu ya taifa haijawahi kufanya vizuri.Makocha mtabadirisha sana tu lakini hakuna mtakachofanikiwa, tatizo linajulikana hakuna wachezaji wenye hadhi ya kushindana hapa, watu wamewekeza sana, nenda UGANDA, mpira toka chini upo, hapa mnategemea kukuza mpira kiujanja ujanja tu mtegemee matokeo!!eti wachezaji 12 wa kigeni ruksa kuanza kwenye timu moja!!kisa yanga na simba zifike mbali!!!"KAMA HUFAHAMU UNAKO KWENDA WALA HUWEZI KUPOTEA"
Hivi katundiga ndaluga lini? Sijasikia atangaze, au huku bongo huwa hawatangazi kama sehemu zingine?Hebu ngoja kwanza...
Kwamba Kaseja kapewa dili la kunoa makipa wa Stars?
[emoji23][emoji23]
Na Kaseja na Mecky ni Marafiki wazuri tu tokea walipokuwa pamoja Mkoani Morogoro na ndiyo maana hata Nyumba zao huko Morogoro wamejenga sehemu moja.Hawa makocha wqtatangaza wachezaji wao, huyo Manula anaweza akaachwa
Umeandika Ukweli mtupu Ndugu ila Majuha wengi hawatokuelewa hapa. Alichokiharibu Mungai ndiyo Waganda wanakitumia hadi Leo ndiyo maana katika Soka na hata Michezo mingine wametuacha mbali mno.Kwani wachezaji 12 wa kigeni wanaathiri nini timu ya taifa?Utitiri wa wachezaji wa kigeni hapa Tz umeanza miaka ya hivi karibuni.Lakini tangu tupate uhuru leo miaka 61 timu ya taifa haijawahi kufanya vizuri.
Timu ilipewa jina la kichwa cha mwendawazimu miaka ya 1990 na Mzee Mwinyi sababu ya kila taifa kujipigia tu kama ngoma ya wagobogobo. Kama tatizo ni wachezaji kuwa wengi wa kigeni mbona miaka hiyo ambayo hatukuwa na wachezaji wengi wa kigeni stars ilikuwa haifanyi vizuri?
Mchawi mkubwa wa mpira wetu ni MUNGAI aliyefuta michezo mashuleni mwaka 1998 .Apelekwe gerezani miaka 12 siku anamaliza kifungo achapwe viboko 12 ili akamuoneshe mkewe.
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app