Kwani wachezaji 12 wa kigeni wanaathiri nini timu ya taifa?Utitiri wa wachezaji wa kigeni hapa Tz umeanza miaka ya hivi karibuni.Lakini tangu tupate uhuru leo miaka 61 timu ya taifa haijawahi kufanya vizuri.
Timu ilipewa jina la kichwa cha mwendawazimu miaka ya 1990 na Mzee Mwinyi sababu ya kila taifa kujipigia tu kama ngoma ya wagobogobo. Kama tatizo ni wachezaji kuwa wengi wa kigeni mbona miaka hiyo ambayo hatukuwa na wachezaji wengi wa kigeni stars ilikuwa haifanyi vizuri?
Mchawi mkubwa wa mpira wetu ni MUNGAI aliyefuta michezo mashuleni mwaka 1998 .Apelekwe gerezani miaka 12 siku anamaliza kifungo achapwe viboko 12 ili akamuoneshe mkewe.
Sent from my Infinix X612 using
JamiiForums mobile app